johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lumumba st wamejaa Waha.Hakuna Waha wa kusema ni kundi noticeable kariakoo Kama ilivyo Kwa wachaga na wakinga
Ubaya wa Waha huwa hawataki kabisa kurudi kwao Kwa hofu za uchawi.Yani kuna Watu nilimaliza nao chuo miaka 10 iloyopita hawajawahi kurudi kabisa
Mkuu hiyo mitaa yote unayosema imejaa kabila la wamanyema, na hata huo msikiti wa "manyema" waliupa jina la kabila lao kwa vile ndio walikuwa wengi kariakoo na ndio pia waliotangulia kufika mjini.Lumumba st wamejaa Waha.
Pale katikati karibu na Ujiji G/H ndio usiseme ni waha watupu.
Nenda msikiti wa Manyema utajua kama ni wachache!
Huko kwenu Songea Ruvuma ni Zoflehale kuliko KigomaNimeliangalia jimbo
Waha wa Kkoo wengi ma Ostadhi. Wengi wao Wana asili ya Ujiji. Ni wanazuoni wazuri wa dini lakini Elimu dunia hawana. Ni wabishi, na wapenda Uongozi.Lumumba st wamejaa Waha.
Pale katikati karibu na Ujiji G/H ndio usiseme ni waha watupu.
Nenda msikiti wa Manyema utajua kama ni wachache!
Inawezekana hao waha wa Kariakoo siyo wa Muhambwe ni wa Kigoma mjiniNikiukumbuka mjengo wa rip Mengi kule kijijini Machame natamani Wakinga na Waha wangeenda kujifunza somo la kukumbuka nyumbani maana si kwa vijumba vile vya Muhambwe na Kibondo.
75% ya majimbo yote nchini yapo kama hilo la Muhambwe na CCM ndio waliotufikisha hapa! CCM ndio kikwazo cha maendeleo katika Nchi yetu!Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana.
Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini
Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao Waha na Wakinga ila ukirudi vijijini mwao kunatisha.
Nikiukumbuka mjengo wa rip Mengi kule kijijini Machame natamani Wakinga na Waha wangeenda kujifunza somo la kukumbuka nyumbani maana si kwa vijumba vile vya Muhambwe na Kibondo.
Mungu wabariki Waha!
Serikali nyingi za kiafrika zinapenda Sana kuifanya mikoa ya pembezoni na mipakani kama buffer zones....na bila Shaka wanasingizia sababu za kiusalama na Kwa hapa TZ huko ndio uperekwa wajeda kuongoza..kama Kambi vile...kama nchi hatujaona na kuzitumia fursa za kupakana na nchi nyingine instead sie tumekodolea bandari tuu..Damn! I wish I was a politician.Kigoma imetengwa kimaendeleo na serikali kwa muda mrefu, mkoa ambao hata kufika tu kwa bus ni shida unategemea wazawa watajenga kweli huko?
Sehem. Zote alizopita mwarabu hazijawah baki salama mpaka leo kuanzia tabora unyanyembe moja uswahili magomeni , mwarabu analaana sana, anajua ugomvi na kupigana na kuoa wake wengi basiNimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana.
Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini
Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao Waha na Wakinga ila ukirudi vijijini mwao kunatisha.
Nikiukumbuka mjengo wa rip Mengi kule kijijini Machame natamani Wakinga na Waha wangeenda kujifunza somo la kukumbuka nyumbani maana si kwa vijumba vile vya Muhambwe na Kibondo.
Mungu wabariki Waha!
Lumumba st wamejaa Waha.
Pale katikati karibu na Ujiji G/H ndio usiseme ni waha watupu.
Nenda msikiti wa Manyema utajua kama ni wachache!
Punguza ujinga na jazba. Jikite kwenye hoja ya msingi. Unajaribu kuchepusha mjadala kutoka kwenye mada ya msingi na kuleta "UARABU". Kwa yeyote mwenye kuifahamu historia atagundua mara moja nini unakusudia. Hapa Mimi sioni laana ya Mwarabu imetoka wapi? Naomba nitoe somo kidogo, Kilwa na Zanzibar enzi za mwarabu walipiga hatua kubwa ya maendeleo kiasi cha kumiliki sarafu yao wenyewe. Wafanya biashara walitoka pande mbalimbali za ulimwengu kuja Kilwa na Zanzibar lkn baada ya kuingia ukoloni na baadae uhuru kinachoendelea Kilwa na Zanzibar ni aibu. Ingefaa ndugu mchangiaji uwe mkweli, tatizo ni waarabu au ni wakoloni na baadae mfumo uliorithiwa na viongozi weusi kwa kudumaza maendeleo katika maeneo yaliyokuwa na waarabu wengi hapo awali?Sehem. Zote alizopita mwarabu hazijawah baki salama mpaka leo kuanzia tabora unyanyembe moja uswahili magomeni , mwarabu analaana sana, anajua ugomvi na kupigana na kuoa wake wengi basi
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Barabara za Kigoma ni takataka..alafu wana kelele nyingi. MfyuuuKigoma imetengwa kimaendeleo na serikali kwa muda mrefu, mkoa ambao hata kufika tu kwa bus ni shida unategemea wazawa watajenga kweli huko?