Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mngekuwa na ofisi ndo mngejua kuwa ufunguzi unahitaji heshima, Sasa mmepanga kwa baba mkwe Hadi leo pale ufipa mtajuaje umuhimu wa ufunguzi wa ofisi?Jengo la mahakama wanazindua marais wawili?
Wewe ndio mwenye upeo mdogo kwani unakariri matukio ya nyuma ukiyaunganisha na leo hii...tatizo ni upeo mdogo alionao Magufuli.
..kuna kipindi alipokuwa waziri alikwenda kumpigia kampeni Raila Odinga.
..sasa hayo yanapofanyika sio jambo la kushangaza.
Diplomasia huifahamu vyema. Kwa mfano itokee msiba wa kiongozi mmoja wa afrika, rais wetu Hatakwenda kumzika?.Narudia tena, diplomasia ya kimataifa hairuhusu nchi nyingine kuingilia chaguzi za nchi nyingine. Tuliona alichoongea Museveni wiki iliyopita. Kampeni ni siku 60, ni kipi kingeharibika hizo ziara zikisubiri uchaguzi upite? Hili wala halihitaji nguvu kubwa kulijua.
Trump akienda campaign ile gharama ya ulinzi, kuendesha beast na air force 1. Nani analipa? Kuhusu campaign funds kila mtu anajua wanasiasa wa US wanazipiga.. rejea indictment ya Steve Bannon. Dunia hii imejaa uhuni toka huko majuu hadi huku uswahili. Hamna cha CCM wala CDM wote pamejaa wezi. Upinzani mkitaka kushinda hizo nguvu mnazotumia kulalamika ziwekeni kwenye Strategies za ushindi.Marekani uchaguzi upo wazi.rais ambaye yupo ofisini "incumbent president " anatangaza fund raising na majaji wa mahakama kuu wana verify. Kwaajili ya kampeni.huku Tanzania magari ya serikali yanawekwa namba private na kujazwa mafuta ya serikali kumpigia kampeni magufuli.
Hata Trump ana uchaguzi mwaka huu Nov lakini anaendelea kupiga kazi, na kutoa presidential orders/decree , mfano ni kuzuia TokTok ya china ku operate USA , la iuzwe au kuwapa source doc yako oracle kwa kuingia ubia nao, la pili kusimamia mkataba wa Israel na baadhi ya nchi za kiaarabu, hii yote kuonyesha kutetea maslahi ya USA kiuchumi na kiusalama hivyo yeye anafaa kuendelea kuwa raisi wa usaNdio maana tunahitaji katiba mpya. Huku anapiga kampeni huku anaahidi kujenga barabara na kugawa fedha za walipa kodi hovyo kwa wananchi.
punguzeni lia liaNdio maana tunahitaji katiba mpya. Huku anapiga kampeni huku anaahidi kujenga barabara na kugawa fedha za walipa kodi hovyo kwa wananchi.
Anatumia Akili Nyingi Anajua Kilichompata Pierre Wakati Anataka Kuangushwa Madarakani, Hivyo Anakuja Kwa Masaa Machache TuNi yule mrithi wa Nkurunzizah
Unaishi Sehemu Gani Hapokweli JPM ameamua kuipaisha Kigoma....naamimi mpaka atakapo kamilisha miaka yake 10 Kigoma itakuwa mkoa bora kuliko mikoa mingine.
Tatizo ni sheria za TAKUKURU na katiba yetu, inatakiwa mtu akigombea kama alikuwa Rais aachie madaraka awe mgombea tu, ili kumzuia kufanya mengine ambayo atadai kuwa yeye bado ana tekeleza majukumu yake kama Rais pindi kampeni ikiendeleaNdio maana tunahitaji katiba mpya. Huku anapiga kampeni huku anaahidi kujenga barabara na kugawa fedha za walipa kodi hovyo kwa wananchi.
Diplomasia huifahamu vyema. Kwa mfano itokee msiba wa kiongozi mmoja wa afrika, rais wetu Hatakwenda kumzika?.
Tuache kuwa inferior kwa vigezo hafifu vya kisiasa.
Ndayishimiye ndio huyo anapigiwa wimbo wa taifa pale lake Tanganyika stadium Kigoma.Hebu kaa Kimya Philipo, msiba ni jambo linaloweza kusubiri mpaka kampeni zipite? Hata kama ingekuwa ni msiba, huyo jamaa yako huwa anakwendaga? Naona umekata pumzi mpaka unaokoteza sababu, tena zisizo na maana kabisa. Kaa kimya tu boss.
Ndayishimiye ndio huyo anapigiwa wimbo wa taifa pale lake Tanganyika stadium Kigoma.
Unajitahidi sana kuchangia nyuzi nyingi, lakini bahati mbaya uwezo wa kuchangia kwa ubora ni mdogo mnoo.Hebu kaa Kimya Philipo, msiba ni jambo linaloweza kusubiri mpaka kampeni zipite? Hata kama ingekuwa ni msiba, huyo jamaa yako huwa anakwendaga? Naona umekata pumzi mpaka unaokoteza sababu, tena zisizo na maana kabisa. Kaa kimya tu boss.
Unajitahidi sana kuchangia nyuzi nyingi, lakini bahati mbaya uwezo wa kuchangia kwa ubora ni mdogo mnoo.
Urais ni institution, kwa mambo ya chumbani kwako ni jukumu lako. Njee ya hapo kila unachofanya unakifanya unavyo amrishwa sio kushauriwa.
Urais ni wewe na kila mtanzania popote alipo.
Na kuhusu nguvu za Urais kipindi hichi cha Uchaguzi hii ni kwa nchi zote duniani. Nchi nyingi zime copy na paste kipengele hicho. ( Powers of Transitional Government ).
Lakini tuu kwa Rais na ambae anakuwa mkuu wa nchi ( Head of State)na haihusu viongozi ambao ni wakuu wa serikali( Head of Government).
Tindo kwa kuwa una muda wa kuchangia, ukiwa na michango bora utafanya JF KUWA BORA.Ahaaaa ahaaaa nimecheka kwa nguvu, eti najitahidi kuchangia lakini nina ubora duni wa hoja. Inaonekana umekuja na marking scheme hapa jukwaani, hivyo maelezo yoyote yaliyo nje ya matamanio yako, ni Uduni wa hoja!
To be honest, nashukuru umeniquote kwa maelezo marefu, lakini sijui umetoa majibu yako kwenye post ipi, maana ulichoniquote kina uhusiano mdogo na hii post yako. Huenda umefanya hitimisho la kila post yangu kwenye uzi huu, ama kwa kughafilika umebeba post kadhaa za wachangiaji wengine, kisha ukafanyia hitimisho kwangu. Kwa maneno marahisi nimeona furushi la sentensi za kiswahili, zisizo na mahusiano yoyote na ulichoniquote.
Unajitahidi sana kuchangia nyuzi nyingi, lakini bahati mbaya uwezo wa kuchangia kwa ubora ni mdogo mnoo.
Urais ni institution, kwa mambo ya chumbani kwako ni jukumu lako. Njee ya hapo kila unachofanya unakifanya unavyo amrishwa sio kushauriwa.
Urais ni wewe na kila mtanzania popote alipo.
Na kuhusu nguvu za Urais kipindi hichi cha Uchaguzi hii ni kwa nchi zote duniani. Nchi nyingi zime copy na paste kipengele hicho. ( Powers of Transitional Government ).
Lakini tuu kwa Rais na ambae anakuwa mkuu wa nchi ( Head of State)na haihusu viongozi ambao ni wakuu wa serikali( Head of Government).