Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 980
Mambo ya kipumbavu yanapangwa kufanywa na wapumbavu wenye akili huwa hatushangai!! Anayewaza Kushanga n BIA YETU, CHANGUDOA WA MALUNDE, JANE LOWASA, JOHN BAPTIST, ELITWEGE, PASCAL MANJAA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida kwa polisi wa Tanzania kuwatengenezea makosa wapinzani kipindi cha uchaguzi. Kwa hizo filamu zenu za kutengeneza labda mtawadanganya watoto waliozaliwa miaka ya 2000, ila kwa wazoefu wa siasa za Tanzania hapana. Hamuwezi kutudanganya.Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
Hizi ni mbinu chafu za ccm.Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
CHADEMA hadi aibu walinunuliwa na lowasa wakawa wanamwabudu hadi wakasahau kwamba ndio Yule fisadipapa waliyepiga makofi bungeni asulubishwe.Sio tabia ya wapinzani na hawana pesa za kununua,maccm kwa maeneo ya vijijini Kama hayo Kuna bajeti yake kabisaa ya kununua kadi za wapinzan
Mambo ya kipumbavu yanapangwa kufanywa na wapumbavu wenye akili huwa hatushangai!! Anayewaza Kushanga n BIA YETU, CHANGUDOA WA MALUNDE, JANE LOWASA, JOHN BAPTIST, ELITWEGE, PASCAL MANJAA.
Wee mburula huoni kuwa hii ni mbinu imeandaliwa na CCM kuhalalisha wizi ambao tayari wameuandaa?Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
HII TAARIFA IIPUUZWE NI UONGOPolisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
Fisadi Hana nafasi chadema na hakuna aliyemuabudu,nadhani unajua fisadi karudi nyumbani kwao.Kuna fisadi mmja anatuhumiwa kutafuna 1.5t nadhani unamfahamu ,usijichekeshe hapaCHADEMA hadi aibu walinunuliwa na lowasa wakawa wanamwabudu hadi wakasahau kwamba ndio Yule fisadipapa waliyepiga makofi bungeni asulubishwe.
Sasa wananunuliwa na kina Amstadam 😁😁😁
Wao mradi pesa tuu
Dah...mkuu kama unajua wapi wananunua kadi za kupigia kura nielekeze...yangu nauza buku 3 tu 🤭Cdm hawawezi kuwa wamenunua hizo kadi Kama wafanyavyo maccm,Kuna uwezekano zilikuwa ni kadi za wanawake wamezihold ,si unajua wanawake akili zao,la sivyo tusubirie uchunguzi
Kwanini wasinyongwe?
Wee mburula huoni kuwa hii ni mbinu imeandaliwa na CCM kuhalalisha wizi ambao tayari wameuandaa?
Alafu wanasingizia wanaibiawa kura,kumbe wao ndio wezi wakuu.Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
YaaniPolisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
Hahahahahaha mnateseka Sana kwa malalamikoHizi ni mbinu chafu za ccm.
Kama mliweza kuteka kuua kudhulumu mtashindwa kusingiziaPolisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
RPC Kigoma James Manyama amesema wanachunguza malengo ya kuwa na kadi zisizo za kwao ni yapi.
Hatumshangai huyo. Kuiga ni jadi yao, baba yao kaja na uongo kuwa kitambulisho cha mmachinga unakopea Bank wote wakajikuta wanaimba wimbo huo. Kaja na pumba za kupiga magoti jukwaani wote sasa wanapiga magoti jukwaani.HII TAARIFA IIPUUZWE NI UONGO