Uchaguzi 2020 Kigoma: Viongozi watano wa CHADEMA mbaroni kwa kukutwa na kadi 14 za mpiga kura

Mambo ya kipumbavu yanapangwa kufanywa na wapumbavu wenye akili huwa hatushangai!! Anayewaza Kushanga n BIA YETU, CHANGUDOA WA MALUNDE, JANE LOWASA, JOHN BAPTIST, ELITWEGE, PASCAL MANJAA.
 
Ni kawaida kwa polisi wa Tanzania kuwatengenezea makosa wapinzani kipindi cha uchaguzi. Kwa hizo filamu zenu za kutengeneza labda mtawadanganya watoto waliozaliwa miaka ya 2000, ila kwa wazoefu wa siasa za Tanzania hapana. Hamuwezi kutudanganya.

Haya ndo ya Mahita kuja na visu vyenye nembo ya cuf kwenye uchaguzi wa mwaka 2000
 
Kuna wale 14 walikamatwa majuma 2 yaliyopita hawakutajwa ni chama gani na haijulikani nini kiliendelea!
 
Hizi ni mbinu chafu za ccm.
 
Sio tabia ya wapinzani na hawana pesa za kununua,maccm kwa maeneo ya vijijini Kama hayo Kuna bajeti yake kabisaa ya kununua kadi za wapinzan
CHADEMA hadi aibu walinunuliwa na lowasa wakawa wanamwabudu hadi wakasahau kwamba ndio Yule fisadipapa waliyepiga makofi bungeni asulubishwe.

Sasa wananunuliwa na kina Amstadam 😁😁😁

Wao mradi pesa tuu
 
Kamanda unashangaa uhuni wa makamands wenzio
Mambo ya kipumbavu yanapangwa kufanywa na wapumbavu wenye akili huwa hatushangai!! Anayewaza Kushanga n BIA YETU, CHANGUDOA WA MALUNDE, JANE LOWASA, JOHN BAPTIST, ELITWEGE, PASCAL MANJAA.
 
Wee mburula huoni kuwa hii ni mbinu imeandaliwa na CCM kuhalalisha wizi ambao tayari wameuandaa?
 
HII TAARIFA IIPUUZWE NI UONGO
 
Wachunguze hivyo vitambulisho watakuwa wamebambikiwa na watu wa maccm.
 
CHADEMA hadi aibu walinunuliwa na lowasa wakawa wanamwabudu hadi wakasahau kwamba ndio Yule fisadipapa waliyepiga makofi bungeni asulubishwe.

Sasa wananunuliwa na kina Amstadam 😁😁😁

Wao mradi pesa tuu
Fisadi Hana nafasi chadema na hakuna aliyemuabudu,nadhani unajua fisadi karudi nyumbani kwao.Kuna fisadi mmja anatuhumiwa kutafuna 1.5t nadhani unamfahamu ,usijichekeshe hapa
 
Cdm hawawezi kuwa wamenunua hizo kadi Kama wafanyavyo maccm,Kuna uwezekano zilikuwa ni kadi za wanawake wamezihold ,si unajua wanawake akili zao,la sivyo tusubirie uchunguzi
Dah...mkuu kama unajua wapi wananunua kadi za kupigia kura nielekeze...yangu nauza buku 3 tu 🀭
 
Alafu wanasingizia wanaibiawa kura,kumbe wao ndio wezi wakuu.
 
Yaani
Hizi ni mbinu chafu za ccm.
Hahahahahaha mnateseka Sana kwa malalamiko
 
Kama mliweza kuteka kuua kudhulumu mtashindwa kusingizia

Nyinyi ndio mabingwa wa wizi asie wajua nani
 
Hivyo vitambulisho walitolea maelezo Jana kwenye zoezi la kuapisha mawakala walikuwa wanavitoa copy ili waambatanishe sasa hayo Manyama akapata cha kumpa ujiko kwa vile na yeye anajua jina analotumia ni la.
 
HII TAARIFA IIPUUZWE NI UONGO
Hatumshangai huyo. Kuiga ni jadi yao, baba yao kaja na uongo kuwa kitambulisho cha mmachinga unakopea Bank wote wakajikuta wanaimba wimbo huo. Kaja na pumba za kupiga magoti jukwaani wote sasa wanapiga magoti jukwaani.
Nahofia siku kile kichaa alisema kule Ukara kikipanda akashusha jukwaani mzigo tutegemee wagombea wote wa CCM kuanza kushusha mizigo yao majukwaani.
Wao ni kuiga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…