Kigoma ya sasa siyo kama ya zamani

Shida ya Kigoma hata wakipelekewa miradi mizuri vipi, hawaachi kuabudu mlima Kabogo, uchawi, unafiki na kutokwa maarama usoni.
 
Mjinga sana wewe
Hiyo miradi imeanza na yule mzee wenu, na bado inasuasua
mabasi yanalala njiani na vumbi la kutosha
 
Sijui wanajengewa barabara na madaraja vya nini wakati usafiri wao ni vipepeteo,fisi na bakora
 
Nenda kigoma kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu utajua kweli kigoma ya sasa imeboreshwa
 
Sijui wanajengewa barabara na madaraja vya nini wakati usafiri wao ni vipepeteo,fisi na bakora
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona huwa mnagongana angani na EvilSpirit wenzako.
 
Kuna Muha anatusumbua huku usiku anaruka mpaka na mafagio ya buibui
 
Imarisheni upinzani kama mnataka maendeleo Kigoma.
heni
 
kigoma miradi ya barabara aliyoiacha jpm imebaki kama ilivyo wakandarasi wameweka vifaa hawana hela barabara zina matope hatari. ajali hazihesabiki katika mkoa huo hasa kuanzia nyakanazi hadi kasulu barabara mbovu sana
 
Ulipita lini mkuu,kwa taarifa nyakanazi hafi kibondo ni lami tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…