Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa.
FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.

2711534_FB_IMG_1615362150772.jpg

IMG-20210331-WA0000.jpg

IMG-20210330-WA0006.jpg
 
Mmeanza ukabila. Siku za hivi karibuni kumeanza kumea mbegu za ukabila, mara utasikia SUKUMA GANG mara hawa na moka zao wanaruka barabani huko nk that's why ilifaa makabila madogo kama wamang'ati wawe wanashika hatamu badala ya haya yanayojiita makabila makubwa!
 
Na mbaya zaidi mtu wa mkoa wako au kabila au dini akishika madaraka habadilidishi chochote kwenye maisha yako. Ni hisia za kijinga sana.
 
Na huko Kigoma kwa yule Bibi Mwaka jana kwenye msafara mrefu wa kampeni ,Jiwe aliambiwa wananchi wanakunywa maji kisima kimoja na mifugo
 
Back
Top Bottom