Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Katika karne ya 21 ni punguani peke yake ndiye anaweza kushobokea ukanda na ukabila badala ya kushobokea perfomance ya mtu!
 
Hamtaki kuamini kama kafa ehee, Hayati maana yake ni marehemu. Kafa mwenda zake.
Keshakufa,labda mtaacha gubu lakini wapi.
Wenzio kule tweeter washaanza gubu kwa mama.wamechukia lagacy ya Magufuli kuteuliwa VP.
Mnachoshindwa kuelewa CCM ni"ileile na sera ni zilezile"watu ni walewale.[emoji444]
"Tumejipanga mwaka huu mtaisoma"[emoji444]
 
Buhigwe pako hovyo miradi mingi ipelekwe kule jamani uchumi ufunguke watu wa buhigwe wachapa kazi mno lakini mzunguko wa hela mdogo .Aaongee na halmashuri miradi gani ifanyike pale kufungua uchumi mkubwa
Chato mmeshamaliza, sasa mmehamia Buhigwe[emoji2][emoji3]
 
Keshakufa,labda mtaacha gubu lakini wapi.
Wenzio kule tweeter washaanza gubu kwa mama.wamechukia lagacy ya Magufuli kuteuliwa VP.
Mnachoshindwa kuelewa CCM ni"ileile na sera ni zilezile"watu ni walewale.[emoji444]
"Tumejipanga mwaka huu mtaisoma"[emoji444]
Si mzoee na kuvumiliana si ndio siasa zinavyotaka, acha watu watumie Demokrasia yao, ni kawaida sana.
Hata mama Samia aliteuliwa na Mtupoli kuwa VP, ni chama chao na watu wao mi najua hivyo, sio shida hapo na wala sioni tatizo, Siasa ni kutingishana akili kidogo.
 
Msije mkampiga juju tu huyu Mama, ili Rais ajaye wa awamu ya saba atokee Kigoma Rasmi.

Maana katiba yetu kumbe inatoa shot kat ya Urais kupitia umakamu bila uchaguzi.
 
Buhigwe pako hovyo miradi mingi ipelekwe kule jamani uchumi ufunguke watu wa buhigwe wachapa kazi mno lakini mzunguko wa hela mdogo .Aaongee na halmashuri miradi gani ifanyike pale kufungua uchumi mkubwa
Cheo cha VP naonaga hana mamlaka kama PM.
 
Yetu macho ngoja tuone tabia mbaya za ajabuajabu alizofundishwa na Jiwe za kupika takwimu za ukusanyaji mapato ya serikali ataziacha au ataziendeleza ?
 
Back
Top Bottom