Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buhigwe iko mpakani iangaliwe kufungua fursa kubwa Tanzania uchumi wetu ulenge soko la jirani mipakani
Zitto hapa lazima afute NGO yake ya ACT-WalajiToka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa nchini.
View attachment 1738958
😃😂😁😀Waha wote na tuseme AMEEEE
itakuwa kama toronto, kwa sauti ya agrey mwanri.Kigoma sasa kuwa jiji
Mwenyewe hapendi ujueitakuwa kama toronto, kwa sauti ya agrey mwanri.
Waha kwakuwa ni wa machinga sasa mmepata mtetezi😆😆
Nyambafu! Umeshaanza kuwaza kuua mtu mara hii! Ndugu zangu TUMUOMBEE Mama Samia Mungu amlinde!Mkitaka kgm ipate rais ueweni maza, ndo mambo yanavyokwenda
Tanzania sasa ina MPANGO baada ya kupata SULUHU kutokana matatizo yaliyobabishwa na POMBE.