Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Mmeanza ukabila. Siku za hivi karibuni kumeanza kumea mbegu za ukabila, mara utasikia SUKUMA GANG mara hawa na moka zao wanaruka barabani huko nk that's why ilifaa makabila madogo kama wamang'ati wawe wanashika hatamu badala ya haya yanayojiita makabila makubwa!
 
Na mbaya zaidi mtu wa mkoa wako au kabila au dini akishika madaraka habadilidishi chochote kwenye maisha yako. Ni hisia za kijinga sana.
 
Na huko Kigoma kwa yule Bibi Mwaka jana kwenye msafara mrefu wa kampeni ,Jiwe aliambiwa wananchi wanakunywa maji kisima kimoja na mifugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…