Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Akikujibu hii kama prudent unitag.Mkuu wewe kama mwanasheria tunategemea uwe mfano bora wa kusimamia katiba, sheria, kanuni na taratibu, unaona katiba inavunjwa kwa makusudi unawasukumizia mzigo CHADEMA, CHADEMA walishasema wale siyo wanachama wao...
Good kwanza CHADEMA ina wanasheria bora kabisa hapa EA.Nadhani kwasasa CHADEMA ina more serious issues kuliko hiyo rufaa ya covid 19.. Na usidhani CHADEMA ni ma layman kiasi cha kutojua wanafanya nini..!
Mkuu, kuna watu wanasingizia uamuzi wa mwisho. Wapewe huo uamuzi wa mwisho. Katika jambo hili, msimamo wangu unabakia kuwa ni huu:Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimyaWakili leo umeacha akili zako ofisi ndogo ya Lumumba.
Hivi huwa mnasubiri Rufaa isomwe ndiyo wahusika waanze kutumikia adhabu yao iliyotolewa na chombo cha awali?...
Nadhani hii law school ivunjwe inatoa product za hovyo kama hizi ni aibu kwa nchiAkikujibu hii kama prudent unitag.
Kama Tulia alikua ni mmoja wa walimu hapo Law School unategemea nini hasa zaidi ya haya mashudu!Nadhani hii law school ivunjwe inatoa product za hovyo kama hizi ni aibu kwa nchi
Mwanasheria kanjanja kama huyu unategemea anaweza kutetea nchi, ndiyo maana Msukuma anatukana wasomi wa Tanzania kumbe ana-logic aseeKumbe ni baadhi yao wamekata rufaa? Na hao ambao hawajakata rufaa vipi? Mbona bado wapo bungeni na wanatambuliwa na spika?
Msimamo wako au ni msimamo wa katiba,sheria,kanuni!!!???? Yaani mwanasheria/wakili unaacha kufuata katiba,sheria ya vyama vya siasa, kanuni za bunge, sheria ya uchaguzi, na kuwa na msimamo wako!!!?????Mkuu, kuna watu wanasingizia uamuzi wa mwisho. Wapewe huo uamuzi wa mwisho. Katika jambo hili, msimamo wangu unabakia kuwa ni huu:Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya
Yaani ni aibu sana sana kwa hiyo Law School.Kama Tulia alikua ni mmoja wa walimu hapo Law School unategemea nini hasa zaidi ya haya mashudu!
Hawa wanatosha ku-certify vyeti pekee lakini siyo wanasheria wa kutetea maslahi ya nchi maana yeye mwenyewe hajui kuwa hajuiKama Tulia alikua ni mmoja wa walimu hapo Law School unategemea nini hasa zaidi ya haya mashudu!
Comrade Petro please think like lawyer and not like those viazi unaosema wanasingizia hukumu ya mwisho.Mkuu, kuna watu wanasingizia uamuzi wa mwisho. Wapewe huo uamuzi wa mwisho. Katika jambo hili, msimamo wangu unabakia kuwa ni huu:Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya
Mi nilitegemea yeye kama wakili awe wa kwanza kwenda mahakamani ku-challenge uvunjifu wa katiba, sheria na kanuni lakini yeye anakuwa wa kwanza kushabikia uovu. Shame on him. TLS nayo sahivi ni tawi kuu la CCMMsimamo wako au ni msimamo wa katiba,sheria,kanuni!!!???? Yaani mwanasheria/wakili unaacha kufuata katiba,sheria ya vyama vya siasa, kanuni za bunge, sheria ya uchaguzi, na kuwa na msimamo wako!!!?????
Hawa ni vilaza kama vilaza wengineComrade Petro please think like lawyer and not like those viazi unaosema wanasingizia hukumu ya mwisho.
Ana fikiri yeye ana akili zaidi, akae atulie!Nadhani kwasasa CHADEMA ina more serious issues kuliko hiyo rufaa ya covid 19.. Na usidhani CHADEMA ni ma layman kiasi cha kutojua wanafanya nini..!
Mbona jibu lako halina uhusiano na swali ulilonukuu ?Mambo yote yataisha uamuzi tu ukitolewa
Wewe ni mwanasheria wa aina gani ?!.Mambo yote yataisha uamuzi tu ukitolewa
Mademu wengi wa Mbowe ndio hao COVID, wanapata posho ya ubunge wanampunguzia gharama za kuwatunza, halafu hao ndio Chadema wenyewe, Mbowe anawafukuzaje?Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho...
Hoja yako inaonekana kama imetolewa na mtu asiyefahamu sheria, lakini kwa kuwa imetoka kwako ni aibu kwa tasnia ya sheria!Mkuu, hoja yangu inahusiana vipi na uanasheria wangu?