Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mleta mada unajifanya hujui kitu eeeh.
Wewe ni mwanasheria gani?
Unajua rufaa ina maana kuwa umeipokea hukumu, na unatambua umehukumiwa na chombo halali?
Hivi unajua utaratibu wa kukata rufaa unakuja baadaye toka hukumu kutolewa?
Hivi unajua hata hao wachache waliodaiwa kukata rufaa wamefanya hivyo nje ya muda?
Sasa Spika Ndugai kwanini aligoma kutamka mapema alipopewa taarifa kuwa wamevuliwa uanachama ili kuutangazia umma kuwa hao wabunge 19 sio wabunge na badala yake akang'ang'ania kuwa hana taarifa mara anasubiri kwanza wakate rufaa, hivi alijuaje watakata rufaa?
Hivi unajua katika wale wabunge 19, ni sita tu ndio waliokata rufaa. Hao 13 wanawekwa kundi gani?