Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mleta mada unajifanya hujui kitu eeeh.
Wewe ni mwanasheria gani?
Unajua rufaa ina maana kuwa umeipokea hukumu, na unatambua umehukumiwa na chombo halali...
Kwasababu wewe ni mwanasheria na unajua sheria halafu unatoa hoja kama hujui sheria! Nadhani umeelewa why anahoji uanasheria wako sasa.Mkuu, hoja yangu inahusiana vipi na uanasheria wangu?
Hili bandiko lako la April last year nimelielewa! Mada yako ya Leo naona ni mada chokonozi, pamoja sana mkuuKuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...www.jamiiforums.com
CHADEMA wametaka wenyewe hao akina Mdee kuendelea kuwa Bungeni.Mambo yote yataisha uamuzi tu ukitolewa
Pengine watakuwa waliamua kuwaacha waendelee na uanachama, possibly baada ya kuona kuwa kuwafukuza uanachama kutawasababishia kupoteza ajira, kitu ambacho siyo kizuri kwa sababu kingepingana kabisa na jitihada za Serikali ya awamu ya 6 ya kuhakikisha kuwa inatengeneza ajira kwa watu wake. Sasa Serikali itatengenzaje ajira kwa watu wake ikiwa wao watakuwa wanawafukuzisha wa-Tanzaina kazi?Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho...
Wewe ni shyster lawyer! Kwanini? Ukihukumiwa adhabu huwa inasimama utekelezaji? unaomba rufaa ukiwa unatumikia. Is that what is happening?Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho..
Swala hapa siyo rufaa. Hao Wabunge waliingizwa bungeni kinyume cha sheria ..... Hilo swala la kufukuzwa ni jingine ambayo pia inawanyima hadhi ya kuwepo hapo ........!!Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza Kuu la CHADEMA.
Mamlaka za kibunge zinasubiri uamuzi wa CHADEMA juu ya rufaa ya akina-Halima Mdee ili ziweze kuchukua hatua stahiki. Spika Tulia ameshasema Bunge linaendeshwa kidemokrasia na kisheria. Unasubiriwa uamuzi tu wa CHADEMA.
Ni miezi mingi sasa imepita tangu akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama na baadhi yao kukata rufaa. Lini hasa rufaa zao zitasikilizwa na uamuzi wa mwisho kichama kutolewa juu yao? Ukimya huu ni baraka za kificho kuwa akina Halima Mdee waendelee na mambo yao ukiwemo Ubunge?
Rufaa yao haina uhusiano wowote na wao kuwemo bungeni kuwakilisha CHADEMA. Hata kama watashinda rufaa yao bado hawatastahili kukiwakilisha chama chao kwa sababu hawakuteuliwa na chama chao kufanya hivyo.Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza Kuu la CHADEMA.
Mamlaka za kibunge zinasubiri uamuzi wa CHADEMA juu ya rufaa ya akina-Halima Mdee ili ziweze kuchukua hatua stahiki. Spika Tulia ameshasema Bunge linaendeshwa kidemokrasia na kisheria. Unasubiriwa uamuzi tu wa CHADEMA.
Ni miezi mingi sasa imepita tangu akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama na baadhi yao kukata rufaa. Lini hasa rufaa zao zitasikilizwa na uamuzi wa mwisho kichama kutolewa juu yao? Ukimya huu ni baraka za kificho kuwa akina Halima Mdee waendelee na mambo yao ukiwemo Ubunge?
Nilitaka kuandika hii kitu kumbe umeshaandika, kinacholazimishwa na kina Tulia na CCM wengine kuhusu hii kitu ni kuwatoa watu kwenye reli kama ilivyotokea kwa mleta mada kwa wao kuleta mambo mengi yasiyo na maana.We ni mwanasheria kweli au wale makanjanja? wewe mtu akihukumiwa kifungo gerezani lakini akakata rufaa hataenda gerezani mpaka rufaa yake isikilizwe?
Tulia mwenye kaingia bungeni kwa nguvu ya dola unategemea atasimama upande upi? pale bungeni wabunge walioingia kihalali hawazidi wanne lakini na wewe unajitoa ufahamu .
Hivi nikuulize?? Ukihukumiwa na mahakama kwenda jela nawe ukaamua kukata rufaa, una kuwa huru kusubiri rufaa yako au unaendelea na adhabu wakati una subiria maamuzi ya rufaa yako?? Ukijibu hilo swali tayari utaona kuna ujinga serikali ina wafanyia Chadema.Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza Kuu la CHADEMA.
Mamlaka za kibunge zinasubiri uamuzi wa CHADEMA juu ya rufaa ya akina-Halima Mdee ili ziweze kuchukua hatua stahiki. Spika Tulia ameshasema Bunge linaendeshwa kidemokrasia na kisheria. Unasubiriwa uamuzi tu wa CHADEMA.
Ni miezi mingi sasa imepita tangu akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama na baadhi yao kukata rufaa. Lini hasa rufaa zao zitasikilizwa na uamuzi wa mwisho kichama kutolewa juu yao? Ukimya huu ni baraka za kificho kuwa akina Halima Mdee waendelee na mambo yao ukiwemo Ubunge?
Jibu maswali hayo ya rufaa iliyokatwa baada ya kufukuzwa uanachama! pamoja na kuatamiwa kama wabunge wakati hawana chama hadi rufaa ipite!Mambo yote yataisha uamuzi tu ukitolewa
Baraza Kuu la Chadema lilipanga kufanya kikao kuhusu uamuzi wa Rufaa ya hao wabunge Julai 5 2021 nini kilikwamisha ?Rufaa yao haina uhusiano wowote na wao kuwemo bungeni kuwakilisha CHADEMA. Hata kama watashinda rufaa yao bado hawatastahili kukiwakilisha chama chao kwa sababu hawakuteuliwa na chama chao kufanya hivyo.
ka, sio CHADEMA ndio anawajibika kueleza aliongozwa na kitu gani kufikia uamuzi wa kuwaapisha. CHADEMA wamemtaka atoe fomu na barua
Amandla...
Cc. Nguruvi3 JokaKuu
Wewe ni mwanachama wa Chadema? Kama sio mwanachama, halikuhusu.Baraza Kuu la Chadema lilipanga kufanya kikao kuhusu uamuzi wa Rufaa ya hao wabunge Julai 5 2021 nini kilikwamisha ?
Sssa habari zenu za Chadema mnaleta JF za nini kama hamtaki watu wahoji pelekeni Ufipa msilete JF siyo mali ya Chadema kama pro-Chadema wengi mnavyofikiria hili ni jukwaa huru kinacholetwa humu kinajadiliwa kwa mujibu wa kanuni za JF.Wewe ni mwanachama wa Chadema? Kama sio mwanachama, halikuhusu.
Amandla...
CHADEMA wasijifiche kwenye kichaka kwamba Jamuhuri imeweka Wabunge-19 haramu Bungeni. Ili kupata majibu kwanini Wabunge-19 wako Bungeni CDM pia wanapaswa kumalizana nao ndani ya chama chao.Km wamefukuzwa na wamekata rufaa tunadeal na kufukuzwa kwanza zen rufaa ikitoka wameshinda wanarudi bungeni
Tulia anatufanya tu watu wajinga na hawajui sheria
Tunaichukia chadema ila chadema inatumia akili sana ktk baadhi ya mambo moja wapo ni hili
Tofautisha nahakama na katoba za vyama au taasisiWe ni mwanasheria kweli au wale makanjanja? wewe mtu akihukumiwa kifungo gerezani lakini akakata rufaa hataenda gerezani mpaka rufaa yake isikilizwe?
Tulia mwenye kaingia bungeni kwa nguvu ya dola unategemea atasimama upande upi? pale bungeni wabunge walioingia kihalali hawazidi wanne lakini na wewe unajitoa ufahamu .