CHADEMA wasijifiche kwenye kichaka kwamba Jamuhuri imeweka Wabunge-19 haramu Bungeni. Ili kupata majibu kwanini Wabunge-19 wako Bungeni CDM pia wanapaswa kumalizana nao ndani ya chama chao.Km wamefukuzwa na wamekata rufaa tunadeal na kufukuzwa kwanza zen rufaa ikitoka wameshinda wanarudi bungeni
Tulia anatufanya tu watu wajinga na hawajui sheria
Tunaichukia chadema ila chadema inatumia akili sana ktk baadhi ya mambo moja wapo ni hili
halafu mtu anashangaa kwann tanzania ni maskini hadi leo, wakt mlipo engine room akili zenu mwisho hapo.CHADEMA wasijifiche kwenye kichaka kwamba Jamuhuri imeweka Wabunge-19 haramu Bungeni. Ili kupata majibu kwanini Wabunge-19 wako Bungeni CDM pia wanapaswa kumalizana nao ndani ya chama chao.
Tangu November 2020 hadi leo wanashindwa kumalizana na hao wanachama au ni mchongo? 🧐
Tatatibu za katiba ya chadema hazisemi hivyo zibasema hivi moja ya kazi ya baraza kuu ni kuridhia na kuidhinisha au kutolea maamuzi maswala ya kinidhamu yaliyotolewa na vikao vya chiniKm wamefukuzwa na wamekata rufaa tunadeal na kufukuzwa kwanza zen rufaa ikitoka wameshinda wanarudi bungeni
Tulia anatufanya tu watu wajinga na hawajui sheria
Tunaichukia chadema ila chadema inatumia akili sana ktk baadhi ya mambo moja wapo ni hili
Hata Mimi ninahisi itakuwa ni Mchongo. Tutashuhudia Blaablaah hadi wanafika 2025. Hueñde uongozi wao unawazuga wanachama wakeCHADEMA wasijifiche kwenye kichaka kwamba Jamuhuri imeweka Wabunge-19 haramu Bungeni. Ili kupata majibu kwanini Wabunge-19 wako Bungeni CDM pia wanapaswa kumalizana nao ndani ya chama chao.
Tangu November 2020 hadi leo wanashindwa kumalizana na hao wanachama au ni mchongo? 🧐
Katiba ya CUF haokuvunjwa inataka vile tofauti na ya chademahalafu mtu anashangaa kwann tanzania ni maskini hadi leo, wakt mlipo engine room akili zenu mwisho hapo.
cuf chini ya lipumba ilivyo fukuza wanachama wake, spika alisubiri rufaa zao caf ndio awatimue bungeni?
mnawanang'ania hao wabunge sio kuwa wanapendwa na bunge, ni ili bunge lionekane ni la vyama vingi mbele ya jumuia ya madola.
Hivi umasikini wako na njaa kali uliyonayo tumlaumu baba yako?halafu mtu anashangaa kwann tanzania ni maskini hadi leo, wakt mlipo engine room akili zenu mwisho hapo.
cuf chini ya lipumba ilivyo fukuza wanachama wake, spika alisubiri rufaa zao caf ndio awatimue bungeni?
mnawanang'ania hao wabunge sio kuwa wanapendwa na bunge, ni ili bunge lionekane ni la vyama vingi mbele ya jumuia ya madola.
Kilichopo hapa ni kwamba kinachoendelea hapa ni mpango mkakati wa CCM, kukaa na hawa covid kama mateka kwa faida yao utaratibu upo wazi mtu huwezi kuwa mbunge wa kuteuliwa kwa kujiteua mwenyewe. mkumbuke hawa waliitwa na kamati kuu wakagoma kwenda. watanzania siyo wajinga. kinachoendelea sasa hivi ni kwamba CCM imeshindwa kuendesha siasa za kistaarabu, kitu ambacho ni kibaya sana kwa taifa. Taifa lisilo na values ni hatari sana, mambo ya msingi yanaendeshwa kihuni kihuni tuu na watu wako comfortable. Angalia jiyo barua ya Chadema kwa Spika na Tume, halafu mjikumbushe Spika Ndugai alivyojibu. hivyo hata rufani ikisikilizwa mambo yatabaki kuwa vilevile kwasababu viongozi wetu hawana uoga wa kusigina katiba.Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza Kuu la CHADEMA.
Mamlaka za kibunge zinasubiri uamuzi wa CHADEMA juu ya rufaa ya akina-Halima Mdee ili ziweze kuchukua hatua stahiki. Spika Tulia ameshasema Bunge linaendeshwa kidemokrasia na kisheria. Unasubiriwa uamuzi tu wa CHADEMA.
Ni miezi mingi sasa imepita tangu akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama na baadhi yao kukata rufaa. Lini hasa rufaa zao zitasikilizwa na uamuzi wa mwisho kichama kutolewa juu yao? Ukimya huu ni baraka za kificho kuwa akina Halima Mdee waendelee na mambo yao ukiwemo Ubunge?
mda wako wa kustaafu ukifika njoo ni kuajiriHivi umasikini wako na njaa kali uliyonayo tumlaumu baba yako?
Haukatazwi kuchangia, lakini halikuhusu. Na siku hizi habari za Chadema mnazileta zaidi wafuasi wa CCM kuliko wa Chadema. Mko obsessed na Chadema.Sssa habari zenu za Chadema mnaleta JF za nini kama hamtaki watu wahoji pelekeni Ufipa msilete JF siyo mali ya Chadema kama pro-Chadema wengi mnavyofikiria hili ni jukwaa huru kinacholetwa humu kinajadiliwa kwa mujibu wa kanuni za JF.
Kwanini wajadili mwisho walitakiwa kujadili mwanzo kwenye uteuzi nani aliwapeleka bungeni? halafu tutakuja kwenye hiyo rufaaNi taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza Kuu la CHADEMA.
Mamlaka za kibunge zinasubiri uamuzi wa CHADEMA juu ya rufaa ya akina-Halima Mdee ili ziweze kuchukua hatua stahiki. Spika Tulia ameshasema Bunge linaendeshwa kidemokrasia na kisheria. Unasubiriwa uamuzi tu wa CHADEMA.
Ni miezi mingi sasa imepita tangu akina Halima Mdee wafukuzwe uanachama na baadhi yao kukata rufaa. Lini hasa rufaa zao zitasikilizwa na uamuzi wa mwisho kichama kutolewa juu yao? Ukimya huu ni baraka za kificho kuwa akina Halima Mdee waendelee na mambo yao ukiwemo Ubunge?
Ok sasa hawa ambao hawakutaka rufaa je wao nao wanasubiri nini ?Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa) kuwa wapo waliofukuzwa uanachama ambao walikata rufaa kupinga kufukuzwa kwao uanachama. Mamlaka ya rufaa imeripotiwa kuwa ni Baraza
Kajifundishe kwanza kuandika unaandika unaandika utadhani mtoto wa chekechea daaah.mda wako wa kustaafu ukifika njoo ni kuajiri
at moment upo kwny nafasi nzuri ya kuishaur serikali iache matumizi ya anasa ya mashangingi, badala yake hizo fedha wapeleke kwny huduma za kijamii vijijini kwa watu wasio na access ya maji safi..
Mimi siyo mfuasi wa CCM tatizo lenu yeyote anapingana mtazamo na pro- Chadema mnamuona CCM daahHaukatazwi kuchangia, lakini halikuhusu. Na siku hizi habari za Chadema mnazileta zaidi wafuasi wa CCM kuliko wa Chadema. Mko obsessed na Chadema.
Amandla...
Mkuu, hoja yangu inahusiana vipi na uanasheria wangu?
Umeonesha ukanjanja mkubwa.Mkuu, hoja yangu inahusiana vipi na uanasheria wangu?