Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Aaah ndugu yangu ...inakuwaje hapa tena! Kwani kazi ya afisa habari ni Nini!? Mbona kila siku Ndg. Yetu wa Ikulu anatuletea teuzi tu.. Kwann asikae Rais Dkt. JPM awatambulishe!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kaka sisi furaha yetu tumfunge yanga timu yetu ifanye usajiri mzuri basi

Hilo ndio la msingi Kwa sisi mashabiki
 
Kigwangwala na wote wanaomshabikia wana uelewa mdogo sana wa Corporate Management, CEO ni Mwajiriwa na anapewa Job description na Objectives za kufanyia Kazi tena zenye Performance indicators, baada ya muda atafanyiwa appraisal na kama atakuwa hajatekeleza objectives zake kwa mujibu wa makubaliano basi ajira yake itasitishwa, na nijuavyo taasisi nyingi watumishi wana sign declaration ya Conflict of interest , kwenye ulimwengu wa sasa huwezi kuajiri a Senior member of Management Kwenye organisation kama una mashaka na Loyalty yake.
 
Kaka sisi furaha yetu tumfunge yanga timu yetu ifanye usajiri mzuri basi

Hilo ndio la msingi Kwa sisi mashabiki
Mimi naridhika Sana jamaa zangu wa ughaiibuni wakinitumia video clip Simba anakipiga na Zamelek...halafu Zamalek katepeta.. wanataja majina ya wachezaji wetu.. au kuona tweet ya wanigeria wanahaha Timu zao zinapoiface Simba..

We unaongelea kuifunga timu ya viwango vya ndodo.. hao utopolo Ni Nini Sasa..

Prolly this is why Mo is very relaxed.. na Uongozi mzima.. tuishi kwa kuifunga yanga tu kweli!? Mmh

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hana lolote.
Amejiuliza pesa ya usajili imetoka wapi?Pesa ya kuendesha timu ikiwa ni safari,hoteli na posho za wachezaji zinatoka wapi?

Kama pesa hizo zilikuwepo kabla ya Mo,kwa nini Simba walihangaika sana na kunyang'anywa wachezaji na Yanga enzi za Manji?

Je zikiwekwa kwenye akaunti,zinabaki kama mapambo?
Chokochoko ipi mkuu..?

Mbna anaongea vitu vya msingi katika klabu
 
Hii pisi ya mudi hamtaamini siku atakayowachanganyia marage,urojo na maboga kwenye sufuria moja ndiyo mtaelewa hizo form za declaration of interest hazina maana yoyote mbele ya dushelele.
 
Kaka sisi furaha yetu tumfunge yanga timu yetu ifanye usajiri mzuri basi

Hilo ndio la msingi Kwa sisi mashabiki
Ewaaa! Subirini mechi ila sisi viherehere tunaendelea kufatilia maswala ya ndani ya ofisini.
 
Huu ni uchawi kama uchawi mwingine tu.
Unataka kumtisha nani,na Mo atatufanya nini?!Nchi hii hii,na washabiki hawa hawa,unadhani yeye hana akili kama wewe?
Hii pisi ya mudi hamtaamini siku atakayowachanganyia marage na maboga kwenye sufuria moja ndiyo mtaelewa hizo form za declaration hazina maana yoyote mbele ya dushelele.
 
Huu ni uchawi kama uchawi mwingine tu.
Unataka kumtisha nani,na Mo atatufanya nini?!Nchi hii hii,na washabiki hawa hawa,unadhani yeye hana akili kama wewe?
Punguza jazba gabachori anataka pesa za mazwazwa.
 
Nahisi Kigwangala amenunuliwa na GSM.Hawa watu wa siasa sio wa kuwaamini,maana kama mtu anaweza kubaka mwanae ili apate nguvu za kisiasa,atashindwaje kuisaliti timu tu ya mpira ili atimize haja zake?
 
Inawezekana ana hoja lakini kwanini anamu attack zaidi Modewji? Kwanini katika kipindi hiki? Mi nadhani kwa nafasi yake kama Waziri alikuwa na nafasi ya kulipeleka hili suala katika mkondo sahihi, ambao hautawagawa mashabiki na wanachama hatimaye kusambaratisha uimara wa timu kwa migogoro isiyo na kichwa wala miguu!
Kama anatafuta umaarufu zaidi wa kisaisa wakati huu wa kampeni hakukuwa na ulazima wa kuitimia Club ya Simba.
Kama kanuni na taratibu za kumpata CEO wa Club hazikuzingatiwa naamnini bodi wanaweza kuwa na majibu mahsusi na sio kwenye mitandao ya kijamii,! Waziri unapojibiza na muwekezaji ambae lengo lake ni kuboresha soka katika Nchi yako ambalo linaleta ajira kwa vijana! Ikiwa ndio lengo kuu la serikali yenu umekusudia kukatisha tamaa wengine?
Ni sawa inawezekana kuna mapungufu ya huo uwekezaji je mahali sahihi pa kukosoa ni kwenye mitandao ya kijamii?
Naamini Hamisi kigwangalla anatukosea sana wanasimba wenzie..
 
Nahisi Kigwangala amenunuliwa na GSM.Hawa watu wa siasa sio wa kuwaamini,maana kama mtu anaweza kubaka mwanae ili apate nguvu za kisiasa,atashindwaje kuisaliti timu tu ya mpira ili atimize haja zake?
Kaka taratibu bwana..tusifike huko. [emoji16] sasa

Sema ukweli.. Hili la mudi lina namna haitoshi toshi machoni.. [emoji16][emoji120] au unaonaje!?

Maana amsha amsha.. ya Simba tuna Jambo letu saa...
Makeke ya insta kutoka kwa msemaji wetu nguli..aah wapi.. Hili Jambo kubwa limekuja kimya kimya Sana mbona[emoji1241][emoji881][emoji881]

Hii kimya kimya na mchizi kaipre-empty hoja hata kabla haijawa raised.. [emoji16][emoji16] ..that doesn't seat right.. I swear..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Marina CEO wa Chelsea alikuwa PA wa Abromovich mbona hakuna conflict of interest. Hata CEO aliteuliwa na Kigwa kea pesa aliyonayo Mo akiamua apewe upendeleo atapewa tu
 
Marina CEO wa Chelsea alikuwa PA wa Abromovich mbona hakuna conflict of interest. Hata CEO aliteuliwa na Kigwa kea pesa aliyonayo Mo akiamua apewe upendeleo atapewa tu
You are on the [emoji383] ..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Sisemi More amemteua ..au amemuweka.. ila ushawishi mkubwa alionao ndani ya Simba..umechangia.. that's all.
 
Marina CEO wa Chelsea alikuwa PA wa Abromovich mbona hakuna conflict of interest. Hata CEO aliteuliwa na Kigwa kea pesa aliyonayo Mo akiamua apewe upendeleo atapewa tu
Shida hii ni pisi ya mudi atakuwa anapewa maelekezo ya kazi kitandani.
 
Conflict ya interest!!Mshindo Msola ameaacha kazi??
Barbara ameteuliwa on merit baada ya kuwa mjumbe wa bodi kwa miaka 3.Unajua kazi atakazofanya?Maslahi yepi unayozungumzia?Unaijua katiba mpya ya Simba?Bodi ipo kwa maslahi ya nani? Unafikiri ni kampuni tanzu?
Ujahili ni ugonjwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…