Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

Itatuchukuwa miongo mingi sana kuweza kupata ukombozi wa kifikra inafika hatua unakaa unawaza tunaelekea wapi kama taifa
 
Hamis acha uchawa, ongea ukweli - Nzega hatuna shida kweli?
 
Hivi ni Kweli Watu wa Nzega Tabora Hawana Cha Kumueleza Rais wao huu ni Uongo Mkubwa Kabisa Watanzania Wana Changamoto Nyingi Sana Hawezi Mtu kama kingwangala Kuja Kusema Eti Watu wa Tabora Hawana Changamoto Yoyote Hivyo wao Wanamshukuru Rais basi Aorodheshe Hapa Mahitaji Yoote ya Msingi Ambayo Serikali Imetafanyia Kazi. Huyu anajipendekeza Ili apewe Teuzi!
 
Nzega bado ni eneo masikini sana lenye shida nyingi mno, aache upotoshaji.
 
Kujikombakomba kujipendekeza,
Kulamba viatu uteuzi unapata

Ova
 
Back
Top Bottom