Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

Itatuchukuwa miongo mingi sana kuweza kupata ukombozi wa kifikra inafika hatua unakaa unawaza tunaelekea wapi kama taifa
 
Hamis acha uchawa, ongea ukweli - Nzega hatuna shida kweli?
 
Kofia, kanga na kitenge wanampa tena.
Ndo utaahira wenyewe huo kupokea hongo za kiasiasa. Mimi naichukia CCM na wafuasi wake wote kuanzia Raisi mpaka raia maana wanaturudisha nyuma sana.
 
Hivi ni Kweli Watu wa Nzega Tabora Hawana Cha Kumueleza Rais wao huu ni Uongo Mkubwa Kabisa Watanzania Wana Changamoto Nyingi Sana Hawezi Mtu kama kingwangala Kuja Kusema Eti Watu wa Tabora Hawana Changamoto Yoyote Hivyo wao Wanamshukuru Rais basi Aorodheshe Hapa Mahitaji Yoote ya Msingi Ambayo Serikali Imetafanyia Kazi. Huyu anajipendekeza Ili apewe Teuzi!
 
Nzega bado ni eneo masikini sana lenye shida nyingi mno, aache upotoshaji.
 
Kujikombakomba kujipendekeza,
Kulamba viatu uteuzi unapata

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…