Kigwangalla autaka uongozi mpya wa Simba kuonesha Bil 20 alizoweka Mo Dewji

Kigwangalla autaka uongozi mpya wa Simba kuonesha Bil 20 alizoweka Mo Dewji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Dkt Hamis Kigwangalla, Mbunge na Mwanachama wa Simba, ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uoneshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO .

Amesema jambo hilo ni muhimu sana likafanyika ili kuondoa sintofahamu iliyopo
 
Kigwangala Yupo sahii sana.

Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki ndaki.
Hivi una Bilioni 20
Hakuna kitu chochote limefanyika Cha maana.

Hata usajili wenyewe ni shida.

Adebayor.

Manzoki.

Azizi Ki.

Bambala.

Simba inaendelea kuokota okota akina Okwa, Dejan Kapama, kanute nk.

MO NI MUONGO SANA.
 
Hivi kwani hela za hisa zinawekwa kwenye Akaunti za Klabu?

Nadhani Uwekezaji ni Biashara, siyo Charity

Kigwangala kama anaitaka Simba aende Mamlaka ya Mitaji na Hisa(CMA) alipe Bil.20 za Mo achukue umiliki wa Klabu ya Simba

Mo, kama Abramovich alivofanya Chelsea, au akina Glazers wanavofanya sasa Man U, hawezi kupoteza hela yake

Ndimi Mwananchi Mwaminifu, Forward Forever

Aziz Kiiiiiiiiiiiiiii, Manula haamini
 
Hivi kwani hela za hisa zinawekwa kwenye Akaunti za Klabu?

Nadhani Uwekezaji ni Biashara, siyo Charity

Kigwangala kama anaitaka Simba aende Soko la Mitaji na Hisa alipe Bil.20 za Mo achukue umiliki wa Klabu ya Simba

Mo, kama Abramovich alivofanya Chelsea, au akina Glazers wanavofanya sasa Man U, hawezi kupoteza hela yake

Ndimi Mwananchi Mwaminifu, Forward Forever
Sasa kuonyesha tu ilipo hiyo bil 20 ndio imekuwa ngumu hivi jamani !
 
Katika watu ambao siku zote nimekuwa na wasiwasi kama ukijijini umewatoka huyu ni mmoja wapo. Simba hawana mashabiki wa hivi, huyu kaijua Simba ukubwani.
Ugumu uko wapi jamani ?
 
Ngwalanomics yeye kama anazo 20b, azame pale Msimbazi aseme nataka kununua hisa za Mo, ataelekezwa 20b za Mo zilipo, atapewa na documents akalipe ili achukue umiliki wa Klabu, mbona simple tu siyo kujichimbia Nzega na Twitter
Tatizo lipo kwa MO mwenyewe alipoandika mfano wa hundi ya shilingi bilioni 20 kwenda Simba SC
 
Dkt Hamis Kigwangwala , Mbunge na Mwanachama wa Simba , ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uonyeshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO .

Amesema jambo hilo ni muhimu sana likafanyika ili kuondoa sintofahamu iliyopo
Huyu naye tumeshamchoka,kunyimwa mkopo wa tukutuku na Mo ndiyo yote haya
 
Ile hela ni ya Mo siyo ya Klabu

Ili Kigwa aoneshwe kwa haraka 20b za Mo zilipooo, yeye atangaze kununua hisa za Mo zenye thamani ya 20b, atajua mapema tu kabla ya jua kuzama kama kweli Mo kawekeza 20b Simba au sound, Simple!
Sawa sawa chief ....

Nafikiri hiyo option ni nzuri na wote tungefahamu ukweli.
 
MO hajaweka hata mia zaidi ya kulipia matangazo yake kwenye Jersey za Simba. Tusidanganyane
 
🐒🤣

images (64).jpeg
 
Back
Top Bottom