Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Mi sijaelewa anataka waoneshe zilipo kiaje?Kama wewe ni shabiki wa Simba, na unaona kigwangwala anakosea, basi elewa ni mbumbumbu wa kiwango cha mwisho kabisa.
Wataje benki zilipo? Wanaweza ropoka tu CRDB na tusiweze confirm.
Wataje account number? Hatuwezi confirm pia.
Wakazichukue Benki wazilete kwenye Press wamebeba kwenye magunia? Ili iweje.
Anataka waoneshe kwa namna gani?