Kigwangalla autaka uongozi mpya wa Simba kuonesha Bil 20 alizoweka Mo Dewji

Kigwangalla autaka uongozi mpya wa Simba kuonesha Bil 20 alizoweka Mo Dewji

Kigwangala Yupo sahii sana.

Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki ndaki.
Hivi una Bilioni 20
Hakuna kitu chochote limefanyika Cha maana.

Hata usajili wenyewe ni shida.

Adebayor.

Manzoki.

Azizi Ki.

Bambala.

Simba inaendelea kuokota okota akina Okwa, Dejan Kapama, kanute nk.

MO NI MUONGO SANA.
Hao wachezaji unaotaka Simba iwasajili wana kipi cha maana walichofanya kwenye timu zao?
 
Hivi kwani hela za hisa zinawekwa kwenye Akaunti za Klabu?

Nadhani Uwekezaji ni Biashara, siyo Charity

Kigwangala kama anaitaka Simba aende Mamlaka ya Mitaji na Hisa(CMA) alipe Bil.20 za Mo achukue umiliki wa Klabu ya Simba

Mo, kama Abramovich alivofanya Chelsea, au akina Glazers wanavofanya sasa Man U, hawezi kupoteza hela yake

Ndimi Mwananchi Mwaminifu, Forward Forever

Aziz Kiiiiiiiiiiiiiii, Manula haamini
🤣🤣🤣
 
Kigwangala Yupo sahii sana.

Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki ndaki.
Hivi una Bilioni 20
Hakuna kitu chochote limefanyika Cha maana.

Hata usajili wenyewe ni shida.

Adebayor.

Manzoki.

Azizi Ki.

Bambala.

Simba inaendelea kuokota okota akina Okwa, Dejan Kapama, kanute nk.

MO NI MUONGO SANA.
Aziz Hana maajabu labda hao wengine.
 
Dkt Hamis Kigwangwala , Mbunge na Mwanachama wa Simba , ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uonyeshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO .

Amesema jambo hilo ni muhimu sana likafanyika ili kuondoa sintofahamu iliyopo
Kigwa...anafanya vyema kuhoji hili.....
 
Na yeye atuoneshe hela za wale twiga waliosafirishwa kwa ndege mpaka arabuni ziko wapi?
 
Back
Top Bottom