Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa kuonyesha tu ilipo hiyo bil 20 ndio imekuwa ngumu hivi jamani !Hivi kwani hela za hisa zinawekwa kwenye Akaunti za Klabu?
Nadhani Uwekezaji ni Biashara, siyo Charity
Kigwangala kama anaitaka Simba aende Soko la Mitaji na Hisa alipe Bil.20 za Mo achukue umiliki wa Klabu ya Simba
Mo, kama Abramovich alivofanya Chelsea, au akina Glazers wanavofanya sasa Man U, hawezi kupoteza hela yake
Ndimi Mwananchi Mwaminifu, Forward Forever
Ugumu uko wapi jamani ?Katika watu ambao siku zote nimekuwa na wasiwasi kama ukijijini umewatoka huyu ni mmoja wapo. Simba hawana mashabiki wa hivi, huyu kaijua Simba ukubwani.
Wacha waparurane, adui mwombee njaaSasa kuonyesha tu ilipo hiyo bil 20 ndio imekuwa ngumu hivi jamani !
Ngwalanomics yeye kama anazo 20b, azame pale Msimbazi aseme nataka kununua hisa za Mo, ataelekezwa 20b za Mo zilipo, atapewa na documents akalipe ili achukue umiliki wa Klabu, mbona simple tu siyo kujichimbia Nzega na TwitterSasa kuonyesha tu ilipo hiyo bil 20 ndio imekuwa ngumu hivi jamani !
Tatizo lipo kwa MO mwenyewe alipoandika mfano wa hundi ya shilingi bilioni 20 kwenda Simba SCNgwalanomics yeye kama anazo 20b, azame pale Msimbazi aseme nataka kununua hisa za Mo, ataelekezwa 20b za Mo zilipo, atapewa na documents akalipe ili achukue umiliki wa Klabu, mbona simple tu siyo kujichimbia Nzega na Twitter
Ile hela ni ya Mo siyo ya KlabuJust kuonesha tu ,tatizo lipo wapi.
Huyu naye tumeshamchoka,kunyimwa mkopo wa tukutuku na Mo ndiyo yote hayaDkt Hamis Kigwangwala , Mbunge na Mwanachama wa Simba , ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uonyeshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO .
Amesema jambo hilo ni muhimu sana likafanyika ili kuondoa sintofahamu iliyopo
Sawa sawa chief ....Ile hela ni ya Mo siyo ya Klabu
Ili Kigwa aoneshwe kwa haraka 20b za Mo zilipooo, yeye atangaze kununua hisa za Mo zenye thamani ya 20b, atajua mapema tu kabla ya jua kuzama kama kweli Mo kawekeza 20b Simba au sound, Simple!
Yes, maneno matupu hayavunji mfupiSawa sawa chief ....
Nafikiri hiyo option ni nzuri na wote tungefahamu ukweli.
Simba imetangaza hayo au nyie wa jf ndio mnasema ?Sawa sawa chief ....
Nafikiri hiyo option ni nzuri na wote tungefahamu ukweli.
Sisi tunafikiria tu mkuu wala Simba haijasema wala kigwa.Simba imetangaza hayo au nyie wa jf ndio mnasema ?