Kigwangalla autaka uongozi mpya wa Simba kuonesha Bil 20 alizoweka Mo Dewji

Kama wewe ni shabiki wa Simba, na unaona kigwangwala anakosea, basi elewa ni mbumbumbu wa kiwango cha mwisho kabisa.
Mi sijaelewa anataka waoneshe zilipo kiaje?
Wataje benki zilipo? Wanaweza ropoka tu CRDB na tusiweze confirm.

Wataje account number? Hatuwezi confirm pia.


Wakazichukue Benki wazilete kwenye Press wamebeba kwenye magunia? Ili iweje.

Anataka waoneshe kwa namna gani?
 
Bilioni 20 zipi tena! Timu imechukua ubingwa mara 4 mfululizo, imeingia robo fainali klabu bingwa, imewasajili akina Chama!! Wachezaji wanaliowa mishahara!!

Imepelekwa Dubai katikati ya msimu! Hizo ndiyo bilioni 20 zenyewe! Ukihoji zaidi ya hapo, utaishia tu kitukanwa.
 
MO atajuta kumnyima Kigwa zile pikipiki.

Bilion 20 zitamtoa kamasi this year
 
Vitu vingi kwenye chama chake vinaenda kihuni mbona yupo kimya ingekuwa anapambania haki basi angekuwa mstari wa mbele kuongelea madudu ya chama chake otherwise ni chuki tu binafsi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kutoka Nzega.. Nje ya Box
 
MO ni tapeli aliyechangamka kama matapeli wa ccm. ile kutekwa kwake inawezekana magu alikuwa sawa huyo MO ni muhujumu nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…