Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

Unapoteza muda wako Mkuu! Unayemuuliza tabia zake ndio kama za huyo Gekul.
Hapo ndio utagundua huyu hafai hata kulumagia.
Kama Gekul hakutenda kosa kwa nini alitaka kutoroka?
 
Mtajuana wenyewe weI wa mali za umma ndizo mnagombania.
 
Sasa Gekul ana impact ganj mpk afanyiwe zengwe..
Bora umesema, Gekul hana impact yoyote kwenye siasa za ndani ya CCM. Vivyohivyo Chongolo nae si kiviile, umuhimu wake ni hicho cheo chake alichokuwa nacho. Lakini je, kama tuhuma ni za kweli kwanini hawa watu waachwe wafanye wanavyotaka? Si kazi ya Kigwangala kuwasafisha watu. Ni wa kupuuza, siasa zake ni za majungu majungu muda wote.
 
Hili andiko la kigwangala... Kama ni miongoni mwa waliotumwa kutuliza upepo wa gekul wakiongozwa na mwijaku ... Limemwondolea credibility!!!

Binafsi nimemvua vyeo kabisa na kumuona ni punguani!...

Kwa hadhi yake angekaa kimya afiche upumbavu wake
 
Wewe mwandishi acha sheria ifuate mkondo wake.
Hivi leo ukiulizwa mume wake na Pauline yuko na mke wake au lah! Uta kuwa na jibu? Ukiulizwa kwanini mume amkimbie mke una jibj? Basi kabla ya kuamua kuwa wakilk wa mtu, tafuta kwanza historia yake.
 
Sitaki hata kuwasikia,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna jinias aliwahi kuwaambia kuwa;Msifurahie wapinzani tunavyofanyiwa,wakitumaliza sisi mtafata nyingi.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Yako wapi.
Pumbavu zenu,nsitupigie makelele yenu Mbwa nyie.

Hata mfe wote sawa,PAKA WA KIJANI KIBICHI nyie😠😠😠
 
Msomi dizaini ya Kigwangwala ndiye anampa haki Dr. Musukuma kuwatukana wasomi wa nchi hii. Hivi Gekul alikuwa na nguvu gani katika chama na serikali hii hadi zifanyike mbinu za kiitelejensia kumuangusha? Kwa Chongolo 'inaweza' kuwa kweli kwani watu we ngi wanaimezea mate hiyo nafasi. Ila kwa mtu ambaye anaweza kutoa kafara mtoto wake ili apate uwaziri anayohaki ya kuwaza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…