Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
CHADEMA ni bora mara 1000 kuliko CCM .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, akishirikiana na wakuja (Polepole and Bashiru)Kilitekwa na Fashisti Nduli.
Jamani kweli akutukanaye hakuchagulii tusiKigwangalla anazeeka kwa unafiki.
Ukimsimamishs Kigwangalla na Prof Kapuya, Hamis ni mzee uso umechoka sana!
Wewe hukioni hicho " kibiongo"!!Ndevu tu hizo Bwashee, akizitoa anakuwa "Baby Face"
Tabia zake chafu zinamponza, Mbona Mkapa na Nyerere hawazungumziwi hivi?Marehemu hana haki
Hamna kibiongo hapo Bwashee, Ni namna ameketi tuWewe hukioni hicho " kibiongo"!!
Sukuma gang...😂😂😂...(natania tu).Nilitekwa na nani Chief?
We mwenyewe ulikuwa mateka juzi tu hapo,umeshasahau? Au umerudishiwa ubongo wako juzi?
Una chuki binafsi na Hamisi....hata wewe ni kikongwe na umechoka uso mpaka mwili.Kigwangalla anazeeka kwa unafiki.
Ukimsimamishs Kigwangalla na Prof Kapuya, Hamis ni mzee uso umechoka sana!
Hawa Sukuma gang ni wa kufyekelea mbali, wameambiwa waanzishe chama chao waingie frontline 2025 wana sitasita, sijui wanaogopa nini wakati wanasema ukanda wao ndio huamua Rais awe naniSukuma gang...😂😂😂...(natania tu).
🤣🤣🤣🤣🤣No comment!! Maana siyo vizuri kulimwa ban ukubwani na moderators wa kisasa.
Huyu bado anaweweseka kukosa uteuziView attachment 2021524
View attachment 2021525
View attachment 2021526
My take: Kwani Chama kilitekwa?
Hahahaaaa......chuki binafsi na uzee wapi na wapi manka!Una chuki binafsi na Hamisi....hata wewe ni kikongwe na umechoka uso mpaka mwili.
...🖕🖕🖕Hahahaaaa......chuki binafsi na uzee wapi na wapi manka!
Nafuu Hangaya ampe anachokitafuta huyu jamaa,amteua hata unaibu waziri japo hafai,Labda atapunguza kujipendekeza.Mpuuzi huyu, mbona hakuwahi kusema kama kimetekwa?
Anaweza kupata tena, Ila siyo Maliasili na Utalii, naona Ndumbaro kaituliza sana (Kinyume na matarajio ya wengi), labda sehemu nyingineHuyu bado anaweweseka kukosa uteuzi