Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

Kigwangala mnafiki sana huyu mtu, kinyonga sana kwa tabia huyu, mnakumbuka wakati Mh. JPM akiwa hai, Kigwangala ndio alikuwa front line, akijifanya Sukuma gang haswa, alikuwa kumsifia JPM kila kukicha, na uwaziri juu alipewa, na hakuwahi hata kudhubutu kuonyesha dalili tu kuwa JPM aliteka Chama.

Leo hii, anaongea kuwa Chama kilitekwa, watu wa aina hii ni wa kuchunga sana, sbb wako ki maslahi zaidi na ni kuwa nao makini. Kauli kama hii angetoa Nape, bila shaka hakuna wa kupinga wala kusema ni kinyonga, ila sio Hamis, opportunist.
 
Chama kilikamatwa na mshamba kutoka ziwa akataka kuwapa adabu watu wa mjin
Kuna wajinga wametumwa kusema mchuano wa siasa ni kati ya washamba na masharobaro wa mjini. Yote kupotosha wanaharamu fisadi wapite.
Siasa ni mapambano ya kitabaka kati ya wenye nacho na raia wa kawaida au ukipenda walala hoi. Hapo kati kuna tabaka la kati. Ni wafanyakazi au wafanyabiashara wadogo. Hao wanaweza kuungana na wenye nacho kukandamiza tabaka la chini au wanaweza kuunganika na walala hoi / tabaka la chini. Yote inategemea maslahi ya kila tabaka.
Tanzania tabala la chini yaani raia wa kawaida ndio kubwa. Kwa hivyo siasa za kuunga mkono maslahi ya umma hasa kuwaletea maendeleo ya kiuchumi zina nafasi ya kuungwa mkono kwa wingi.
 
Back
Top Bottom