Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

Kuna wajinga wametumwa kusema mchuano wa siasa ni kati ya washamba na masharobaro wa mjini. Yote kupotosha wanaharamu fisadi wapite...
Hakuna amelikataa hilo usemalo!! Ila kuwatesa na kuwanyanyasa wengine hasa hao unaoita "wenye nazo" kwa kisingizio cha kutetea hao "walalahoi" haikubaliki!
 
Kabla sijastafu CCM itakuwa ishatoka madarakani
Kuna yule Mzee aliongea hilo kwenye kokangamano la katiba mpya pale Ubungo Plaza 2014, alisema kabla hajafa CCM itakuwa imeshatoka madarakani, Kongamano lilipoisha akagongwa na gari Ubungo mataa akafa palepale
 
Hahahaaaa......Hamis ametisha!
Mwache huyo sio kama wewe unaeambulia Buku saba, Hamisi ameponda raha wakati wa Awamu ya Wahutu, alikuwa anachukua Visichana anaenda kuvidinya huko kwenye Mbuga za Wanyamapori huku akimwambia Magufuli kuwa anawasaka Majangili.

Utadhani Majangili walikuwa wanajificha kwenye Nyapu.
 
Mwache huyo sio kama wewe unaeambulia Buku saba Hamisi ameponda raha wakati wa Awamu ya Wahutu alikuwa anachukua Visichana anaenda kuvidinya huko kwenye Mbuga za Wanyamapori huku akimwambia Magufuli kuwa anawasaka Majangili.
Hamis mzee wa mbinu kitambo sana, anajua sana kuzisogelea fursa na kujipenyeza
 
Halafu nasikia ni Daktari eti, ni kweli ? Binafsi siwezi kukubali kutibiwa na daktari low IQ kama huyo, Daktari kutwa nzima mipasho na umbea no substance, sijawahi kusikia, …
 
Ukweli ni kwamba chama kilitekwa.

- Magufuli mwenyekiti.... According to Kikwete “Nilimtetea Magufuli watu walihoji hajawahi kuwa hata mjumbe wa shina iweje ghafla aje kuwa mwenyekiti wa chama. Nikawaambia ataweza kwani hahitaji shule,”

  • Bashiru Ally Katibu Mkuu katoka UD huko
  • Humphrey Polepole Katibu Mwenezi katoka NGO za kuisema CCM kila siku.
 

Anakwenda na beat. When the beat changes, you adjust the moves accordingly. Ndio Tanzania hiyo. Ndio viongozi wanavyotaka. Sio unashikilia msimamo kama Lissu, Heche au Ulimwengu. Utavunjika.

JPM is no more. No longer useful to opportunists. Hence, nobody really cares. There is no culture of honor in CCM; only convenience. Kigwangala is not alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…