Tetesi: Kigwangalla kuwa Waziri mpya wa Afya, Dr. Gwajima kwenda Jinsia, Wanawake, Wazee na Watoto!

Acha kujipendekeza 😡
 
Amejitahidi sana KUMPAMBA MAMA na Kumponda Mwendazake
 
Ina maana Nchi ina uhaba wa Wanaotosha kupewa kazi ama?.

Any way acha tutumaini kuwa hizi ni tetesi tu....otherwise kina Dokta Year wakae standby.
 
Nitamshangaa sana samia akimrudisha kigwangala ambaye magufuli alishamtaja kuwa alikuwa mfujaji wa mali za umma na kutumia ndege za serikali kuwasafirisha makahaba zake kuvunja sheria za nchi kwa kuwadhalilisha maafisa wanyama pori kujipatia mali kiujanja ujanja. Nk
 
Ina maana nchi hii hakuna watu wapya wanaofaa kushika hizo nafasi, mpk iwe ni kama circle. Kigwangalla tena?🙊
 
Ona sasa kihelehele chako kitasababisha kigwangala wa watu aukose kabisa uwaziri wa afya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bwashee vipi mbege hapo Sanya juu?
 
Wabunge wote wa CCM zaidi ya 300 wa majimbo na wakuteuliwa hakuna wengine ambao wanafaa kushika au kuteuliwa nafasi hizo.mpaka warejedhwe Tena hao walioachwa,kuachwa kwao no ishara kuwa viatu,havikuwatosha.PHD zote wanazopata weheshimiwa.Acheni kufanya kampeni za kuwarudisha walioachwa na mama SSH akifanya hivyo watamwangusha hawa wasaidizi wake.
 
Sio huyu aliyewarusha watu kichura?
Sio huyu aliyefunga geti la wizara?
Kwani Tanzania Ina uhaba wa watu kivile?
Sio huyu alikua anatumia fedha za umma bila maandishi mwishowe katibu mkuu akamuumbua?
The guy is fake
 
Rais amesena wote waliotajwa na CAG wachukuliwe hatua za kisheria. Sasa Tena Kigwangala awe Waziri, a big NO
 
Mkuu sasa unatupa tetesi au habari za Mangi Kileo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…