ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mbona Nyerere hakuvitaka hivyo Vyama vingi wakati akiwa Rais? Mbona Wapinzani wake wote aliwaua na wengine wakakimbia Nchi.nakubaliana na kingwangala, tatizo watanzania hawataki mtu radical, asiye badirika, ukitoa msimamo tofauti na waliozoea wanasema unasema kwa sababu haupo kwenye mfumo. Nyerere alifuta vyama vingi lakini baadae akaupigia chapuo mfumo wa vyama vingi je ni kwasababu hakuwa rais? mbona hakutukana. HK ni msomi na sifa ya msomi ni kubadiri misimamo kuendana na wakati uliopo, miaka ya nyuma suala la mtoto kurudi shule baada ya kujifungua tuliona halifai lakini miaka ya 2020s tumeona kurudi mtoto wa kike darasana baada ya kujifungua ni suala jema. HK ametimiza wajibu wake wanaotaka asiwe radical et kwa sababu ya aliyowahi kusema ama kufanya nyuma wajitafakari upya.
Kimsingi ni Samia na JK tuu ndio wamevumilia Kwa sehemu kubwa upinzani vinginevyo watu wengi huko ccm hawataki hata huo upinzani wenyewe.
Hawa kina Kigwa sijui Mpina wameanza porojo zao baada ya kutoka kwenye Vyeo.