Pre GE2025 Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona Nyerere hakuvitaka hivyo Vyama vingi wakati akiwa Rais? Mbona Wapinzani wake wote aliwaua na wengine wakakimbia Nchi.

Kimsingi ni Samia na JK tuu ndio wamevumilia Kwa sehemu kubwa upinzani vinginevyo watu wengi huko ccm hawataki hata huo upinzani wenyewe.

Hawa kina Kigwa sijui Mpina wameanza porojo zao baada ya kutoka kwenye Vyeo.
 
👍👌👏🙏🆒
 
, miaka ya nyuma suala la mtoto kurudi shule baada ya kujifungua tuliona halifai lakini miaka ya 2020s tumeona kurudi mtoto wa kike darasana baada ya kujifungua ni suala jema.
Acha kutujumuisha ni mwendazake ndio aliona hivyo sisi wengine tulibaki tukishangaa tu!
 
Sasa eongwa kitu kinachotafakarisha sana.

Nchi ywtu hii ina taasisi ambazo mfumo wake unategemea utashi wa mtu na siyo sheria na taratibu
 
Tatizo inapokuja hoja watu wanamjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja iliyopo
 
Wewe naye mbona ni takataka tu.hoja inazungumzia jambo jingine wewe unaleta hoja zingine zakujadili mambo binafsi ya watu.Jibu hoja zake hayo mengine binafsi anzisha mada yake.
 
Mtu anaetuma Ndege ifate malaya dar na Kuwapeleka Porini leo anatoa Guts wapi za Kuona wenzake Wachafu?
 
Unajua ifike mahali watu waache kujadili hoja za watu zenye mantiki kwakuangalia mapungufu yao.Kwa hatua hii nchi ilipofikia kwa sasa kwa hawa viongozi hakuna mwenye afadhali.Wote ni wabovu kwenye angle tofauti tofauti na huo ubovu umechangiwa na huo mfumo mbovu anaousema kigwangala.Kama kweli kizazi hichi kina nia yakulikomnoa hili taifa kinachotakiwa kwa wananchi ni kuchukua point ya kilichosemwa na kukifanyia kazi bila kuangalia jina au status ya aliyekisema.tofauti na hapo ichi kitakua ni kizazi kibovu kuliko vilivyopita kwasababu hatushughuliki na hoja tunaangalia watu.Hoja ya kigwangsla mantiki yake ni kwamba chama kinachounda serikali kimeshashindwa ndo maana huo mfumo mbovu upo,ameshindwa tu kunyoosha maelezo,sasa ni jukumu la wananchi kufanya kwa vitendo kurekebisha mambo badala yakuangaika na mtoa hoja.Kwasababu haya mambo yanajulikana ila hatupati majasiri wakuyasema.Kigwa aungwe mkono.
 
Huyu ni mpiganaji wa ukweli, namfahamu toka kitambo sana, ni mtu wa misimamo isiyoyumba!, akisimama ni amesimama!

Aliwahi kuitisha maandamano Nzega, CCM wakamzuia, aliwagomea! Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

He is very bold!.
P
 
Hakuna mwenye tatizo na asemacho Kigwangwala, Bali yeye sio mtu sahihi. Chaguzi zinanajisiwa wazi wazi yeye akiwa sehemu ya uhuni huo, Sasa mtu kama huyo unamuunga mkono kwa kipi?
 
Hayo yte unasema wewe, yeye kaitwa na TAKUKURU akawasaidie kama anayo information.

Sasa huku vijiweni utawazuwia watu wasiseme, kama wewe unasema yako, mwengine atasema yake mimi ntasema yangu, ndivyo Watanzania tulivyo.
 
Wewe naye mbona ni takataka tu.hoja inazungumzia jambo jingine wewe unaleta hoja zingine zakujadili mambo binafsi ya watu.Jibu hoja zake hayo mengine binafsi anzisha mada yake.
Nimeshasema Kigwangalla ni TAKATAKA, hizo hoja zingine leta wewe
 
Dr. Khamis namshukuru wakati ukifanya mahojiano yaliyoibua sakata hili kati yako na Twaha niliyasikiliza vyema. Hakuna la kuongezea bali nikutoe hofu tu "KIZA KIKIZIDI KUNAKARIBIA KUKUCHA"

However, next time tunaomba tuwe solution oriented rather than Complaining.
 
Labda kama anata kuconfess aliyoyafanya na uwozo wote tutamuelewa na kumsamehe ni kurudisha vyote alivyojimilikisha kwa hiari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…