MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyo huwa ana bifu na watu. Shida yake roho yake ni mbaya, kwa hiyo huwa huhesabu mabaya tu ya wenzake lakini ya kwake huwa hayahesabu.Bingwa la kufikiria nje ya box, mbunge wa Nzega mh Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo....
Una uhakika hayaogopi madeni?Kama kweli Lema alikimbia madeni ya benki mbona sasa amesharudi? hayaogopi tena hayo madeni?
Lema alishawaambia hata sasa anaweza kukopa benki yoyote bila shida yoyote, akaendelea kusema, kama serikali yenyewe inakopa kila siku, haoni wakumsumbua hapa ndani.
Sasa si yupo, au tatizo nini? Na isitoshe madeni ni Siri ya mkopaji na benki iliyomkopeshaUna uhakika hayaogopi madeni?
Jamaa huwa wenzie hawamkubali[emoji23], wakati Magufuli kalazwa Kigwa alipost post inaashiria kutoa pole wakati wenzie wanafichaHuyu nae anafurukuta ili mradi asikike
Madeni hayakuwa ya kubambikiwa kama kesi zenyewe lakiniš¤Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.
Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
Kweli, Madeni siri ya mkopaji na Benki alikokopa lakini ukishindwa kulipa kwa wakati unatangazwa kwenye gazeti na mdana hufanyika hadharani mchana kweupe.Sasa si yupo, au tatizo nini? Na isitoshe madeni ni Siri ya mkopaji na benki iliyomkopesha
Kigwangwala huyu aliyetoa mtoto wake kafara ili apate uwaziri au mwingine? Ana nongwa sana alinyimwa mkopo wa tukutuku na Mo hadi leo kamuwejea bifuHuyu nae anafurukuta ili mradi asikike
Hii kesi yake nayo ilifutwa na Rais ?Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.
Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.