Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
kwahio huyo kichaa kigwangalla anaweza kupambana na lema haya swali dogo atuambieBingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.
Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
1. lema anadaiwa kias gan?
2. lema alikopa lin?
3. lema anadaiwa na nan?
4. mwisho wa kumaliza den ni lin?
5. lema kaweka colkateral gan kwenye mkopo wake?
6. wadhamin wake ni kina nan kwenye huo mkopo?
NB asipojibu hayo maswali atakuwa anadhihirisha upumbavu ambao ccm wengi umewajaa.