wasikusanye kodi"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza maisha niliacha kazi ya serikali (udaktari) na kuingia mtaani, shambani, kiwandani mpaka nikaiona njia yangu" - Hamis Kigwangalla
Kwa hiyo kama unalima sana na barabara za kutoa mazao hakuna, una kiwanda kidogo cha kutengeneza samani za chuma na umeme wa uhakika hakuna usilalamike?. Kuna haja ya kuhoji degree zake kapataje
Kigwangala ni Daktari wa nini?Kwa hiyo kama unalima sana na barabara za kutoa mazao hakuna, una kiwanda kidogo cha kutengeneza samani za chuma na umeme wa uhakika hakuna usilalamike?. Kuna haja ya kuhoji degree zake kapataje
Inasikitisha kweli kweliKwa hiyo kama unalima sana na barabara za kutoa mazao hakuna, una kiwanda kidogo cha kutengeneza samani za chuma na umeme wa uhakika hakuna usilalamike?. Kuna haja ya kuhoji degree zake kapataje
Anajaribu kubuni theory yake,Toka kale tawala nzuri ziwe za kifalme,kiditakta,kidemokrasia Toka enzi na enzi ndizo zinafacilitate maendeleo kwa Raia wake,angalia Asia ya mbali,mashariki ya kati, na kwingineko alimradi iwe ya watu,inayofikiri vyema,inayopenda maendeleo ya watu,isiyo fisadi,isiyo na upendelelo,yenye kulinda rasilimali za asili na viongozi wa kiasi.Kwa hiyo kama unalima sana na barabara za kutoa mazao hakuna, una kiwanda kidogo cha kutengeneza samani za chuma na umeme wa uhakika hakuna usilalamike?. Kuna haja ya kuhoji degree zake kapataje
Hajui kuwa hata hiyo nafasi ya kuiba imetokana na udhaifu wa serikali.Huyu tapeli baada ya kuiba anajiona ni bonge la mjanja
Kwa hio anatuambiaje yaan turudishe kadi za Chama au?"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza maisha niliacha kazi ya serikali (udaktari) na kuingia mtaani, shambani, kiwandani mpaka nikaiona njia yangu" - Hamis Kigwangalla
Mbunge na Diwani ndio wanaotokea huku huku Shimoni Street sana sana DiwaniMtu yeyote ambaye hajui kuwa maendeleo aliyonayo yanatokana na mipango ya serikali basi huyo ni mfu, ndio maana nchi zilizoendelea wao udeal na rais tu, lkn sisi huku eti mtu anaangaika na mbunge, mara diwani mara mwenyekiti wa kijiji, ujinga mtupu.
Haya na hio ime-prove jinsi gani ulivyo stupid,Muhimu nimekujibu sawa sawa na level ya ufahamu wako .
πππππ½Haya na hio ime-prove jinsi gani ulivyo stupid,