OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama yule Kambole ndo ingekuwa amesajiliwa Simba SC, maneno yangekuwa mengi sana..! Kuliko ilivyo sasa.Wachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.
waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.
Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
Kambole anaweza kuwa bora mara 2 ya Azizi KiKama yule Kambole ndo ingekuwa amesajiliwa Simba SC, maneno yangekuwa mengi sana..! Kuliko ilivyo sasa.
Tunasema siku zote usajili ni mtihani duniani.
Kwani si ulisema hawezi kusajiliwa Yanga?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija...
UmenifilisiTakwimu za kibu na mayele hahaha
Ule uzi anauona Kama baba mkwe
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
UmenifilisiMkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Umekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija...
Wewe angalia wachezaji wako, unanyoosha shingo kwa jirani wakati kwako kunanuka uvundo ni maajabu ayaAmna kitu pale kama ameshindwa kufunga hafi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashaniki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Umemfunda. Kama ana akili atatuliaWewe ni mpuuzi miongoni mwa wapuuzi, umekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa? Kwa kujua ya kuwa mashabiki wa makolo amko sawa vichwani na amjui chochote kuhusu mpira mnaanza kumhukumu mchezaji mpya kwenye ligi mpya na mazingira mapya tena akiwa amecheza mechi zisizopungua 4? Mashabiki wapuuzi kama nyie ndio wanaolifanya soka la Tanzania liendelee kudumaa kila siku maana limejaa watu wa ovyo ovyo wasiojitambua
Mkuu wewe ni Gentamicin? Unaonekana ni fala sana.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu,hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400,yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka,kama ifuatavyo
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tuUmekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa? Kwa kujua ya kuwa mashabiki wa makolo amko sawa vichwani na amjui chochote kuhusu mpira mnaanza kumhukumu mchezaji mpya kwenye ligi mpya na mazingira mapya tena akiwa amecheza mechi zisizopungua 4? Mashabiki wapuuzi kama nyie ndio wanaolifanya soka la Tanzania liendelee kudumaa kila siku maana limejaa watu wa ovyo ovyo wasiojitambua