Ni mkaguzi mkuu na mthibiti hesabu za vikoba Tz..
πππππwoooyNi mkaguzi mkuu na mthibiti hesabu za vikoba Tz..
Mwachibu kwa povu hajambo kbsaMhasibu Leo kwenye moja na mbili , kiukweli jamaa yuko vizuri kufanya uchambuzi wa haraka cheki hapo akimfanyia uchambuzi chezaji lao jipya..
Cc : Shadeeya
View attachment 2870943
Kazi kuendelea.Bado kidogo[emoji23]
Labda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu
ulimwambia akabisha..Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
View attachment 2910803
Ila mwasibu naee
πππKihasibu ya nyokho