Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Huu uzi utaishi milele labda Aziz Ki ahame Yanga, nilikuwa nina stress zangu naingia JF nakutana na UFUFUO wa uzi
 
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Tunaendelea tu kufukua makaburi mkuu kama ulivyotabiri
 
MWENYE ID YA HUU UZI ANAWEZA AKAPATA DEPRESSION ASIPOKUWA NA NGOZI NGUMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…