Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake kuigharamia timu nje ya bajeti ya timu.
Sioni cha kumdai zaidi ya kumpa maua yake.
Kwa upande wa GSM yeye karidhika kuisaidia Yanga kwa kuitumia imtangazie biashara na kuchukua mgao kwenye faida za jezi.
KWA WALE WANAOTAKA MO AIACHE SIMBA MLIPENI BILIONI 30
- bilioni 20 gharama alizotumia kununua timu (Purchase cost)
- bilioni 10 gharama ya kuongezea kwa thamani Brand ya Simba (Goodwill)