Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

Joined
May 23, 2018
Posts
71
Reaction score
177
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.

🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍

βœ… Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!

🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
  • 2025/26
  • 2026/27
  • 2027/28
πŸ“Œ Iwapo timu itashinda zaidi ya mara moja, nafasi zitakazobaki zitajazwa kwa kutumia mchango wa alama kwenye viwango vya CAF.

πŸ”’ Viwango vya CAF kabla ya msimu wa 2025/26:

1. Pyramids – alama 36
2. Sundowns – alama 28
3. Orlando Pirates – alama 28
4. Al Ahly – alama 27
5. Esperance – alama 20
6. AS FAR – alama 19
7. Al Hilal – alama 16
8. MC Alger – alama 16
9. CR Belouizdad – alama 12
10. Young Africans – alama 11
11. TP Mazembe – alama 8
12. Sagrada – alama 8
13. Maniema Union – alama 6
14. Djoliba – alama 5
15. Stade d’Abidjan – alama 4

🚫 Timu zinazoshiriki Kombe la Shirikisho la CAF hazikusanyi alama kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia la Klabu.
 
Aroo mbona timu yetu inashika nafasi ya 4 kwenye ranking za CAF, halafu hujaiweka hapo!
 
Safi saana Simba hawapo🏹
 
Hili kombe halitafanyika tena mark my words, wachezaji na makocha wengi wameshapaza sauti kulipinga, tena injury ya musiala ndo imewachafua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…