Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.
🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍
✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
📌 Iwapo timu itashinda zaidi ya mara moja, nafasi zitakazobaki zitajazwa kwa kutumia mchango wa alama kwenye viwango vya CAF.
🔢 Viwango vya CAF kabla ya msimu wa 2025/26:
1. Pyramids – alama 36
2. Sundowns – alama 28
3. Orlando Pirates – alama 28
4. Al Ahly – alama 27
5. Esperance – alama 20
6. AS FAR – alama 19
7. Al Hilal – alama 16
8. MC Alger – alama 16
9. CR Belouizdad – alama 12
10. Young Africans – alama 11
11. TP Mazembe – alama 8
12. Sagrada – alama 8
13. Maniema Union – alama 6
14. Djoliba – alama 5
15. Stade d’Abidjan – alama 4
🚫 Timu zinazoshiriki Kombe la Shirikisho la CAF hazikusanyi alama kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia la Klabu.