Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

Injury ya mchezaji mmoja isababishe kombe lisiwepo? Labda useme sababu nyinginezo
Kuanzia mwanzo walishalalamika Sana wachezaji hawapati mtu wa kupumzika, hata pep akiwa Bado hajatolewa alisema halikua wazo zuri, juzi rais wa Spanish football federation aliapa akasema watatumia Kila namna Hilo kombe lisifanyike tena
 
Fifa World Club wanafanya kazi na Club zinazoshiriki CAFCL .
LUNYASI itabidi akaze atengeneze points au achukue Ubingwa ili kujihakikishia kushiriki katika mtanange huo wa 2029.

Lakini inabidi Lunyasi isajili imagine Aziz Ki huwa anasumbua Camara na Aishi Manura kaenda Wydad kaonekana kama Zombie (struck the Move) , Timu ambayo imefungwa game zote hata na Timu za kawaida ( FIFA WORLD CLUB).
 
Huyu muhasibu feki, muhasibu wetu humu hawezi kuandika vitu vya maana hivi
Siku hizi ukitaka kuonana na Mwasibu, lazima upitie kwanza kwa Kipenzi Changu! 😀

Sijui Mwasibu alifanya nini mpaka akajikuta anatumia ID nyingine, huku ID yake nayo ikichukuliwa na mtu mwingine!
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
 
Kuanzia mwanzo walishalalamika Sana wachezaji hawapati mtu wa kupumzika, hata pep akiwa Bado hajatolewa alisema halikua wazo zuri, juzi rais wa Spanish football federation aliapa akasema watatumia Kila namna Hilo kombe lisifanyike tena
Atumie na mda huo kupinga world cup,euro,afcon n.k
Hili kombe kama yalivyo makombe mengine yanatoa fursa kwa vilabu kuwa na ushiriki mkubwa na kuleta maana ya mchezo pendwa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…