Kwani mleta mada kasema kuna timu haijawahi kupata hasara?Another shi* is here...
Hamna timu ambayo haijawahi kupata hasara kwenye usajiri.
Wapi nimesema dube sio garasa?? Punguza kihere here mkuuKwani mleta mada kasema kuna timu haijawahi kupata hasara?
Dube ni garasa Pro
hatuko hapa kufanya comparison kati ya dube na kibuUnazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
Hizo ndio fikra za akili ndogo, kwamba Kibu anampa Dube tiketi ya kuflophatuko hapa kufanya comparison kati ya dube na kibu
jamaa miyeyusho sanaHizo ndio fikra za akili ndogo, kwamba Kibu anampa Dube tiketi ya kuflop
Kwamba uhalali wa Dube kuendelea kuwa galasa ni Kibu kutokufunga.Unazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
kwani kasema yanga ndo wa kwanza kupata hasara kwenye usajili? Mbona unakurupuka?Another shi* is here...
Hamna timu ambayo haijawahi kupata hasara kwenye usajiri. Unless Kama sio MTU WA Mpira ndio hutaelewa.
Unadhan wakina sawadogo walileta faida kihasibu??
kibu na dube wote ndo wale wale.we unasemaje?Unazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
Kama yanga sio yakwanza kupata hasara basi ajue hasara ni Jambo lakawaida saanakwani kasema yanga ndo wa kwanza kupata hasara kwenye usajili? Mbona unakurupuka?
Al Ahly Tripoli alifunga goli muhimu sanaUnazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
Mhasibu Senior OKW BOBAN SUNZU anayo hii taarifa?Tangu ligi ianze Striker hana goli lolote na anapewa muda wa kutosha, what is this ?
Kuvunja mkataba wake iligharimu milioni 500, Malipo yake kila mwezi yanafikia milioni 30
Ni bora zaidi Guede angebaki aongezewe mshahara wa milioni 10
Kazi ya kibu sio kufunga kwanza kibu ana asist na kitengeneza mashambulizi huko kimataifa kapiga tikitaka kibu anasaidia timu sasa vipi huyo mfungaji wenu?? Wafungaji wa simba ni mukwala na atebaUnazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
sasa mbona unamfokea?Muache sasa atoe maoni yake.Kama yanga sio yakwanza kupata hasara basi ajue hasara ni Jambo lakawaida saana
Nothing to wonder
Akijibu nitagUnazungumzia mechi 10 tu Dube? Hebu tuoneshe goli la Kibu D mwaka wa pili huu liko wapi?
Nani amemzuia kutoa upupu wake uliopo kichwani?? Huyo kolosasa mbona unamfokea?Muache sasa atoe maoni yake.
Kwamba dube kuwa galasa kunafanya kibu asizungumzweKwamba uhalali wa Dube kuendelea kuwa galasa ni Kibu kutokufunga.