Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

Tangu ligi ianze Striker hana goli lolote na anapewa muda wa kutosha, what is this ?

Kuvunja mkataba wake iligharimu milioni 500, Malipo yake kila mwezi yanafikia milioni 30

Ni bora zaidi Guede angebaki aongezewe mshahara wa milioni 10

kwa aziz ki mlisema hivyo hivyo msimu wake wa kwanza,
 
Kihasibu ni hasara million 700 kumuajiri Gamondi aliekua akiuza matikiti Argentina kuja kuwa kocha wa utopolo
 
sisi mwaka wa 3 huu kibu tupo naye na tunatamba naye hata asipofunga goli. Swali ni je nyie nyuma mwiko mnaweza kumvumilia dube asipofunga misimu mi 3?
Tutamvumilia mbona tunakaa na kina Denis nkane wanakaa mwaka hawajacheza wakina Farid Musa 😅 .. kama nyie mmeweza kumvumilia Kibu na sisi tutaweza mahi diha
 
sisi mwaka wa 3 huu kibu tupo naye na tunatamba naye hata asipofunga goli. Swali ni je nyie nyuma mwiko mnaweza kumvumilia dube asipofunga misimu mi 3?
Waambie hao, Hata mshahara anaopokea Kibu akitokea Mbeya city kama mchezaji huru ulikuwa ulikuwa mdogo kuzidi wa sasa, kapambana sana.
 
Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis,

Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500

Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki.

Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana hadi kuboreshewa mkataba wa kulipwa mshahara milioni 15 (Nusu ya mshahara wa Dube)
Mwasibu mupya weye...
 
Mali ya bahili huliwa na wadudu
 
Mlikuwa mnabwata mkijua mshamroga atofunga Tena,,sasa kafunguliwa na kagonga hat trick ya kwanza ligi kuu,,walete hao wachezaji wako wa magori ya penalty tuone
 
Back
Top Bottom