Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

Basi alimkanda Diara mpaka leo majeruhi.
Kweli Rage alikuwa sahihi
Sasa kipa Diara amefungwa na Kibu tu

Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi goli 5

Nenda Magomeni bango lipo
 
Mashindano Bado mechi ngap?
Andika point mkuu, kushinda hizo ambazo hazijachezwa ni kilimo cha makaratasi, mpaka ulime ndo utaona uhalisia. Iandike kwa herufi kubwa.
 
Diara yupo CAFCL
Timu la mambumbumbu lipo lipo shirikisho yaani mashindano ya akina mama
Unaposema shirikisho ni mashindano ya akina mama napata shida na ufikiri wako.

Mwaka juzi tu umetoka huko?hebu tuambie Yanga wamebadili jinsia Au
 
Andika point mkuu, kushinda hizo ambazo hazijachezwa ni kilimo cha makaratasi, mpaka ulime ndo utaona uhalisia. Iandike kwa herufi kubwa.
Kwaiyo Kwa Sasa 5imba anavoongoza ligi ndo bingwa wa 2024-2025🤣
 
Unaposema shirikisho ni mashindano ya akina mama napata shida na ufikiri wako.

Mwaka juzi tu umetoka huko?hebu tuambie Yanga wamebadili jinsia Au
Hayo mashindano ya shirikisho aliyesema ni mashindano ya akina mama ni Mwina Kaduguda Kiongozi pale Simba
Nenda Kamuulize
 
Hayo mashindano ya shirikisho aliyesema ni mashindano ya akina mama ni Mwina Kaduguda Kiongozi pale Simba
Nenda Kamuulize
Sasa wewe ni mke wa Kaduguda Au Ndio kaduguda mwenyewe?
 
Wajinga ndiyo waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…