sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi.
Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k.
Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali, mechi 3 za makundi na 1 ya robo), hivyo ni takribani milioni 240 imewatoka. Pesa atayolipwa simba ni dola laki 9 ambazo ukizidisha kwa 2,353 kiwango cha exchange kwa sasa ni 2,117,700,000 . baada ya kutoa matumizi ya milioni 240 inakuwa ni bilioni moja
Yanga hadi wamefikfa nusu fainali wameenda nje mara 8 hivyo ni takribani milioni 320 imewatoka. Pesa atayolipwa Yanga kwa uhakika hadi sasa ni dola milioni 1 ambazo ukizidisha kwa 2,353 kiwango cha exchange kwa sasa ni 2,353,000,000 . baada ya kutoa matumizi ya milioni 320 inakuwa bado inasoma bilioni 2. mechi ya fainali serikali itagaharamia.