Kihimbwa mchezaji mwenye kipaji anaecheza bila malengo uwanjani

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira,Kontrol km zote na dribbling skills za kutosha. Shida yake kubwa ni kucheza bila malengo. Anacheza bila kuzingatia ni wakati gani akae na mpira na wakati gani auachie Akiwa eneo la hatari anakuwa na kigugumizi cha kufanya maamuzi yanayopelekea kutoa pasi mbovu za mwisho.

Ndio maana wenzake wanaondoka Mtibwa yeye yupo hapo hapo hadi leo.
 
Huyu kihimbwa nilimsikia job wa wasafi akimsifia nikaenda kumtizama kwenye game na Mbeya kwanza dah! kwa kweli hajielewi ana heka heka tu

Back
Top Bottom