Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira,Kontrol km zote na dribbling skills za kutosha. Shida yake kubwa ni kucheza bila malengo. Anacheza bila kuzingatia ni wakati gani akae na mpira na wakati gani auachie Akiwa eneo la hatari anakuwa na kigugumizi cha kufanya maamuzi yanayopelekea kutoa pasi mbovu za mwisho.
Ndio maana wenzake wanaondoka Mtibwa yeye yupo hapo hapo hadi leo.
Ndio maana wenzake wanaondoka Mtibwa yeye yupo hapo hapo hadi leo.