KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
Viongozi wetu ni hovyo kabisa. Kwa nini hawapangi mambo? Unajua mtu anapoamka kutoka kwenye usingizi halafu anakurupuka na kusema kuanzia ........ (akitaja tarehe za karibuni), hakuna kutumia bidhaa fulani ni uhuni na ujinga usiopimika. Kwa nini wasitoe muda watu wakajindaa na wale wenye stock walizonunua kihalali wakamaliza? Bado wanarudia tena yale makosa ya kupiga marufuku viroba yaliyosababisha mpaka watu wengine wajiue kwa kupata hasara. Ni kweli mifuko ya plastic ni mibaya kwa mazingira au viroba vilikuwa vibaya kwa afya za watu lakini wanashindwa nini kutoa muda ili watu wajipange na wale wafanyabiasha waliokuwa wamenunua stock kubwa kwa kuuza wamalize? This African rulers think about their stomatch and their families only!
 
uzi bora kabisa wa ramadhan
nimecheka vibaya sana eti 'rubberband'
 
Sijui mdogo wangu atatapika wapi?/labda akome safari.
sijui kwa nini siku ya kwanza tuu nasikia hili tangazo cha kwanza kuwaza ni wale mhhhhhhh mhbwaaaaaaaaaah mhbwaaaaaaaaaaaa!!!!! Pta pta pta pta ptaaaaaaaaaaaa, anyway watapewa makopo la sivyo ile kero ya watu kutapikia dirishani itaanza tena, sasa jidanganye ukae nyuma dirishani, mnafika ubungo mtapikaji msafiii wewe kila unaekutana nae akikuangalia, hujaulizwa lkn 'kuna mtu kanitapikia', alooooo
 
Back
Top Bottom