KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
Wenye migomba anza dili haraka hapo ndo kwenyewe. Majani yale ya chini Ebyai, na majani mabichi embabi. wenzenu wa Asia ndo mwendo wao kwanini sisi tusiige? Vijijini kwetu tulikuwa tunafanya hivyo mpaka walipoleta haya ma plastick ambayo yameua mpaka mifugo yetu. Let us go back to our roots.
 
They think only of their popularity. Wanasahau Ulaya kuna plastic bags lakin huzioni barabarani. kila kitu kinakwenda kwa mpango. Plastic bags kwenye container yake, chupa za plastic kwenye container yake, chupa za glass peke yake, karatasi, peke yake na siyo kwamba unapenda ni lazima usipofanya hivyo ni faini na watu wanafanya kila siku. Sisi tutashindwaje? Haya hao wajawazito watatapikia wapi na watu wanaopanda ndege na wanatapika watapewa ndoo? Bongo lala.
 
Yaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.
ukitaka epuka hiyo hali,kimbilio lako liwe Tangawizi unaposafiri hakikisha una kipande cha tangawizi mbichi uwe unatafuna Hutoskia kichefu chefu mpk unafika utafika salama salmini.
 
ukitaka epuka hiyo hali,kimbilio lako liwe Tangawizi unaposafiri hakikisha una kipande cha tangawizi mbichi uwe unatafuna Hutoskia kichefu chefu mpk unafika utafika salama salmini.
Dah ahsante kwa ushauri mkuu....nitaufanyia kazi
 
ukitaka epuka hiyo hali,kimbilio lako liwe Tangawizi unaposafiri hakikisha una kipande cha tangawizi mbichi uwe unatafuna Hutoskia kichefu chefu mpk unafika utafika salama salmini.
Wengine wanasema ukalie gazeti na kunusa kikwapa chako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…