Kihongos: CCM Tunatamani Lissu awe nje tuendeleze kujenga nchi na kufanya siasa. Nchi yetu ni ya Kidemokrasia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema CCM inatamani kuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwa nje ili aendelee kushiriki katika ujenzi wa taifa na kufanya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.

Soma Pia: Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

Ni wazi wenye nchi Kihongosi na wenzake kwa usemi huu kama kweli wamepanga watimize haja yao ya kumuua bila kosa, hivyo watatumia mamlaka yao ya kumuua.
 
Hawawezi na hawana namna ya kujibu hoja za TAML.Wanatafuta njia afe ili waishi kwa amani,uhuru na ahueni.TAML is the pain in CCMs arsse-hole!
 
Back
Top Bottom