Political Jurist
Senior Member
- Sep 6, 2021
- 143
- 120
ZIARA TUNDURU
Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini.
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia maeneo ya watu basi waache tabia hiyo maana inapelekea kuleta Migogoro mikubwa ndani ya Wilaya zetu.
Akizungumza leo na Mabalozi pamoja na wananchi walioshiriki katika Mkutano wa shina namba moja Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Kihongosi amesema kila mwananchi anawajibu wa kuishi kwa amani na utulivu katika maeneo yake,niwaambie Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassani ipo makini kuhakikisha inatatua Migogoro yote Nchini na kwa wakati.
" Niwaombe wananchi wa Wilaya ya Tunduru pamoja na Tanzania kwa Ujumla kuendelea kuunga juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ambazo zinafanya Kazi kwa kuhakikisha Migogoro inaisha katika maeneo yetu na mnapata huduma nzuri na Maendeleo yakuwa katika maeneo yetu
Pia Kihongosi amesisitiza watendaji wa Vijiji kuwa waadilifu katika maeneo Yao na kusimamia haki ili waweze kuwahudumia wananchi wote kwa usawa
Aidha Kenani amewaomba wananchi wa Ruvuma kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi kinavyofanya kazi kubwa ya kutekeleza Ilani yake kikamilifu katika kila sehemu ya Nchi yetu pia kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Komred Daniel Chongolo
KAZIIENDELEE
MTUMISHIWAWOTE