Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo amewataka wanahabari kufikisha ujumbe kwa watanzania kuwa Chama hicho kimejipanga kikamilifu kuwabana viongozi wote wa serikali kuwajibika ipasavyo
" Nawaomba wanahabari muwafikishie watanznaia habari kwamba chama cha mapinduzi tumejipanga kikamilifu kuwabana viongozi wetu wa Serikali wakiwemo mawaziri wetu, manaibu waziri wetu, wakuu wa mikoa wetu, wakuu wa wilaya wetu, wakurugenzi maafisa tarafa na wengineyo na tutahakikisha wanawajibika ipasayo"- Amesema Kihongosi