Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano.

Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, akitolea ufafanuzi mwenendo wa ziara zake mikoani na hali ya kisiasa nchini.

Kihongosi amebainisha kuwa chama tawala kimepokea taarifa za kuaminika kuhusu vikao hivyo vya siri, huku akidai kuwa mienendo ya hivi karibuni ya upinzani katika majukwaa ya kidigitali na mikutano ya hadhara inathibitisha uwepo wa mikakati hiyo.

"Wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano... kupitia majukwaa ya kidigitali na mikutano ya CHADEMA wamedhihirisha nia hiyo ovu, na sisi kazi yetu ni kuwatahadharisha Watanzania," ameeleza.

Kufuatia hatua hiyo, amewasihi wananchi kuwa macho na kutojihusisha na jambo lolote linaloashiria uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa utulivu wa nchi ndio msingi mkuu wa maendeleo endelevu.
 
Chama ambacho Mwenyekiti wake yuko ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja, hakina mbunge, diwani, Mwenyekiti wa kijiji na hakipati hata senti moja ya ruzuku lakini kinamsumbua huyu kiongozi wa chama tawala! Kwa nini anakihofia kiasi hicho?

Amandla...
 
Kuna dada yake kule Isimani alisema akipewa muda mfupi na madaraka makubwa lazima aue CHADEMA wote.Hayo ndiyo mawazo halisi na chuki za wana CCM dhidi ya CDM.
 
Chama ambacho Mwenyekiti wake yuko ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja, hakina mbunge, diwani, Mwenyekiti wa kijiji na hakipati hata senti moja ya ruzuku lakini kinamsumbua huyu kiongozi wa chama tawala! Kwa nini anakihofia kiasi hicho?

Amandla...
CCM ni mfu inasubiria kuzimwa tu 'life support machine' itangazwe imekufa.
Chama hai cha siasa ni CHADEMA.
 
View attachment 3607164
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano.

Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, akitolea ufafanuzi mwenendo wa ziara zake mikoani na hali ya kisiasa nchini.

Kihongosi amebainisha kuwa chama tawala kimepokea taarifa za kuaminika kuhusu vikao hivyo vya siri, huku akidai kuwa mienendo ya hivi karibuni ya upinzani katika majukwaa ya kidigitali na mikutano ya hadhara inathibitisha uwepo wa mikakati hiyo.

"Wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano... kupitia majukwaa ya kidigitali na mikutano ya CHADEMA wamedhihirisha nia hiyo ovu, na sisi kazi yetu ni kuwatahadharisha Watanzania," ameeleza.

Kufuatia hatua hiyo, amewasihi wananchi kuwa macho na kutojihusisha na jambo lolote linaloashiria uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa utulivu wa nchi ndio msingi mkuu wa maendeleo endelevu.
Hawa watu ifike mahali hao CHADEMA wawe wanawapeleka mahakamani wakathibitishe maana mara virusi vya ebola mara sijui vikao vya siri, sema na mahakama zenyewe ,ipo mifukoni
 
Chama kina act kama chombo kinasimamia law enforcement, ukikituhumu chama tawala kinakuwa TISS, mara nyingine Polisi, mara jeshi, tunakosea au je anachokisema hapo ndio kazi ya chama?
 
Kama ni kweli chadema wamefanya hivyo basi ni jambo jema, unapoua upinzani wa kisiasa itasababisha kutokea upinzani wa mifumo.
 
Chama ambacho Mwenyekiti wake yuko ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja, hakina mbunge, diwani, Mwenyekiti wa kijiji na hakipati hata senti moja ya ruzuku lakini kinamsumbua huyu kiongozi wa chama tawala! Kwa nini anakihofia kiasi hicho?

Amandla...
 
View attachment 3607164
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano.

Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, akitolea ufafanuzi mwenendo wa ziara zake mikoani na hali ya kisiasa nchini.

Kihongosi amebainisha kuwa chama tawala kimepokea taarifa za kuaminika kuhusu vikao hivyo vya siri, huku akidai kuwa mienendo ya hivi karibuni ya upinzani katika majukwaa ya kidigitali na mikutano ya hadhara inathibitisha uwepo wa mikakati hiyo.

"Wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano... kupitia majukwaa ya kidigitali na mikutano ya CHADEMA wamedhihirisha nia hiyo ovu, na sisi kazi yetu ni kuwatahadharisha Watanzania," ameeleza.

Kufuatia hatua hiyo, amewasihi wananchi kuwa macho na kutojihusisha na jambo lolote linaloashiria uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa utulivu wa nchi ndio msingi mkuu wa maendeleo endelevu.
 
Attachments

  • IMG_20211029_105959.jpg
    IMG_20211029_105959.jpg
    15.5 KB · Views: 13

Huyu Mjinga aelimishwe, Maandamano ni haki ya kikatiba.
 
Chama ambacho Mwenyekiti wake yuko ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja, hakina mbunge, diwani, Mwenyekiti wa kijiji na hakipati hata senti moja ya ruzuku lakini kinamsumbua huyu kiongozi wa chama tawala! Kwa nini anakihofia kiasi hicho?

Amandla...
CDM ni upupu.
 
Back
Top Bottom